Sio Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa kuwa na vituko vingi awapo jukwaani sasa amehamishia vituko mtaani baada ya kunaswa akitembea akiwa amevaa T-shirt tu bila nguo chini kitu kilichofanya watu kumshangaa kila anapopita....