Pages

DIAMOND NA BABY WAKE NDANI YA SONGEA, KUIPA SUPPORT CCM


MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenz wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.