Pages

SHILOLE AKIPOZ NDANI YA HOTEL HUKO UBELIGIJI



Baada ya mwanadada Shilole Kuwasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zeventem jijin Burssel Ubeligiji.Si ndo akaenda zake kujitafutia hoteli ya kujipumzisha. Sasa hiyo ndo picha yake ya kwanza akiwa hotelini humo.