Pages

WEMA NA PENNY MAMBO DAM DAM


Baada ya kuweka Tofauti zao pembeni na kukubali kwamba Diamond si wao tena, Warembo Wema Sepetu na Penny wamekuwa mashosti vibaya, kiasi cha kufikia kufanya mambo mengi pamoja, jiangalie mwenyewe walivyoamua kushona nguo Sare Sare.