BAADA ya kuwepo minong'ono ya hapa na pale kuwa mwigizaji Jessica Biel ana ujauzito wa mtoto wa kwanza wa mwanamuziki Justin Timberlake, huku mastaa hao wakikaa kimya, hatimaye staa Justin ameweka bayana kuwa mkewe huyo ni mjamzito.

Udaku wa ndani na nje ya Tanzania
Posted by: Unknown Posted date: 5:56 AM / comment : 0
Tagged with: Habari za Kimataifa Udaku wa Ulaya