Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» »Unlabelled » Hatimaye Wamerudiana!

Wale ndege wa Mahaba waliotengena hivi karibuni baada ya kudumu ndani ya uchumba kwa zaidi ya Mwaka na Nusu  inasemekana wamerudiana na sasa mapenzi yao ni moto moto, hapa namzungumzia Ali Fdotowsky na Roberto Martinez, wawili hao walikutana katika ndoa ya Ashley Herbert na kuanza uhusiano wao. Shuhuda mmoja wa tukio hilo amesema jinsi alivyowaona, si watu wa kutengana wale!

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga