Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

ZARI AFURAHIA WIVU UNAO ONESHWA NA DIAMOND KWAKE


Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye map3nzi ya kweli". Ukiona upo na mp3nzi na yeye hana wivu kwako basi hana map3nzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mp3nzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata Nasib naye huwa anachungulia nini The Boss Lady anakifanyaga kwenye simu.

Haya ndiyo maneno ya Zari "Thought i was the only one with this peeping habit��, your so busted B0o..

WEMA BADO ANAMPENDA DIAMOND PLATNUMZ, AWEKA VIDEO YA JAMAA AKIWA KIFUA WAZI NA KUSEMA HAYA....



Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Mmmh hatari sana!

ZARI AMPEKUA DIAMOND PLATNUMZ IKULU KUCHEKI USALAMA WA MALI ZAKE


Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama ..


WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ NI FULL KUPIKIANA NA KUPAKUA




Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimap3nzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.
Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini hii imezidiii.

Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe toka Ommy atoke Marekani, hili la kupikiwa na kupakuliwa nyumbani kwa  Wema ndio limezidi kuchochea hisia kuwa wawili hao wanamahusiano zaidi ya USHKAJI.
 
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mwanadada Wema ambae na folloers zaidi ya laki nne , alibandika picha hiyo hapo juu akionekana kumpakulia chakula ambacho alijisifia ni kizuri na amekipika mwenyewe na kumtania Ommy kuwa alikuwa analeta pozi kwenye kula.
“Dat moment anapokuja home and umepika chakula alafu analeta pozi at first then unashangaa anaenda sahani mbili.... Talk About Good Food Made Real Good”- Wema aliandika mara baada ya kutupia picha hiyo.
 
Japo kuwa hadi sasa mwanadada Wema Sepetu ajajitokeza kukataa au kukubali juu ya yeye kuwa na mahusiano na Ommy lakini idadi kubwa ya wampambe wake mitandaoni na ifagilia sana hii “Couple”.

AMBER ROSE AMJIBU KANYE WEST BAADA YA KUMKASHIFU KUWA ALIOGA MARA 30 ILI AWE NA KIM K BAADA YA KUACHANA NAE







Kwenye mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mp3nzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye.
Kanye West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili Kim K anikubali”.
Amber amejibu kupitia twitter yake nakusema …




HUYU NDO MP3NZ MPYA WA RIHANNA


Baada ya Rihanna na Leonardo DiCaprio kutoa ya moyoni mapema mwezi huu kuhusu ukaribu wao na m@haba yaliyopo baina yao, taarifa mpya zinasema kuwa Staa huyo mahusiona na mcheza filamu Richie Akiva.


Rihanna pamoja na Akvia, walikutana kwa mara ya kwanza ndani ya St. Barth’s over iliyopo ikiwa ni siku ya mwaka mpya ndipo toka hapo wawili hao wakaanzisha urafiki hadi kufikia hatua ya kuwa wap3nzi.


Akiva ambaye ni mmliki wa night club kubwa ndani ya jiji la New York na pia ni rafiki mkubwa wa Leonardo anayesemekana kuwa ni mp3nzi wa Riri bila ya kumsahau Rapper Jay Z

Kila la Kheri kwako Riri utulie sasa

KUMBE DIMPOZ NI KUWADI WA KIGOGO ANAE MMILIKI WEMA SEPETU KWA SASA.


HABARI ya mjini ni kwamba, lile p3nzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa.
Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mp3nzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu wasishtukie mchezo kama yeye ndiye anayesukuma gududumu la malovee kwa Madam.
“Kutokana na unyeti wa kazi yake, jamaa hataki kujitokeza ‘front’ ndiyo maana ameamua kumtumia Dimpoz kama kanyaboya huku yeye akiendelea kula vyake,” kilisema chanzo hicho.Kikizidi kumwaga ubuyu, chanzo hicho kilidai kigogo huyo ndiye anayedhamini safari zote za Wema na Dimpoz nje ya nchi ikiwemo ile ya juzikati nchini Marekani ambayo ilibuma.
“Jamaa ana pesa chafu, amemnunulia Wema viwanja viwili kimoja kipo Tabata na kingine Kigamboni, Dar, ndiye anayemwezesha Wema katika shughuli zake za kila siku.“Kigogo huyo ndiye chanzo cha Wema kummwaga Diamond, alimpotezea kwa sababu ya maslahi zaidi, hata kwenye bethidei ya Wema mwaka jana, kigogo huyo ndiye aliyegharamia vitu kibao hadi kusababisha Diamond ahoji,” kilisema chanzo chetu.
Jitihada za kumsaka kigogo huyo ili azungumzie ishu hiyo hazikuzaa matunda lakini alipotafutwa Dimpoz na kusomewa tuhuma hizo, alijibu:“Watu watambue kuwa uhusiano wangu na Wema upo kwa ajili ya ‘project’ zangu, niacheni please niinjoi maisha yangu kuhusu huyo kigogo muulizeni vizuri Wema mwenyewe,” alisema Dimpoz.
Mwanahabari wetu alipomvutia waya Wema, alijibu kwa kifupi na kukata simu:
“Ujue sasa hivi mimi sitaki malumbano na mtu, najua kila mtu siku hizi anaongea kila anachojisikia, naomba niachwe na maisha yangu, unayoyasema hayana maana,  wanasema kwa sababu hakuna anayemjua mp3nzi wangu wa sasa sina muda wa kubishana.”
Hivi karibuni, wakiwa Sauz, Wema na Dimpoz, picha zao wakiwa kimahaba zilivuja mitandaoni hivyo kuibuka gumzo kuwa huenda kwa sasa nao wanatoka.

JACQUELINE PENTEZEL, HANA MPANGO WA KURUDI TENA NDOANI


BAADA ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi, mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena.
Mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’.
Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.
“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda kwa hapo baadaye nitakapojipanga tena upya,” alisema Jack.
Jack alidumu na mumewe huyo kwa miaka miwili na nusu kabla ya kupewa talaka hivi karibuni huku chanzo kikiwa ni kusalitiana katika map3nzi.

ANGALIA DIAMOND ALIVYOMKAMATA "KALIO" ZARI THE BOSS LADY, NDO HABARI YA MUJINI.


Diamond Platinumz amedhihirisha ile research ya Uswaz iliyosema kwamba now days wanaume wanahusudu sana Makalio, na ikafika kipindi hawatajali how and where watayafanyia yao makalio hayo, jionee mwenyewe hiyo pic jinsi Diamond Platnumz alimvomkamata Kalio Mp3nz wake, Zari the Boss Lady...

WAREMBO WALIOZAA NA NAY WAMALIZA TOFAUTI ZAO, WAONEKANA KAMA WAKE WENZA ESCAPE ONE.


Mabinti wawili waliozaa na msanii wa muziki, Emmanuel Elbarik ‘Nay wa Mitego’, Siwema na Skyna Ally ambao awali ilidaiwa walikuwa na bifu zito, sasa wameamua kuwa mashosti.Ijumaa hivi karibuni liliwanasa wawili hao kwenye Ukumbi wa Escape One, Msasani jijini Dar wakiwa beneti kama mtu na mke mwenza na lilipotaka kuzungumza nao wote walichenga na kutaka waachwe.
Mrembo aliyezaa na msanii wa muziki, Emmanuel Elbarik ‘Nay wa Mitego’ Siwema.
Hata hivyo, mmoja wa marafiki aliyekuwa ameongozana nao aliyeomba hifadhi ya jina lake alimwambia mwandishi wetu kuwa, baada ya wawili hao kuwa na bifu kwa muda mrefu, waliamua kukaa chini na kumaliza tofauti zao kwani kilichotokea tayari kimeshatokea.
Skyna Ally.
“Sasa hivi ni mashosti ile mbaya, sehemu mbalimbali wamekuwa wakienda pamoja, yaani ni kama vile wamekubali kuwa wake wenza licha ya kwamba anayekaa na Nay ni Siwema,” kilieleza chanzo hicho.

MBINU ZA KUKUFANYA USIPATE MAUMIVU KATIKA MAHUSIANO YA KIMAP3NZI


Map3nzi ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine. Unahitaji kuielewa vizuri sanaa hiyo ili uweze kuishi vyema na mwenzi wako. Kama ilivyo kwenye upigaji wa gitaa, ili ulipige vizuri na kuweza kutoa muziki mtamu, ni lazima ujifunze.
Vivyo hivyo kwenye map3nzi, ili uishi kwa amani na furaha na mwenzi wako, ni lazima ujifunze mambo muhimu ya kuzingatia ambayo ukiyafanyia kazi, kamwe hutakuja kukutana na maumivu ya mapenzi.
1. KUWA MKWELI
Miongoni mwa mambo yanayoweza kukufanya ukaishi vizuri na mwenzi wako, ni kuwa mkweli katika kila unachokifanya kuanzia kwenye maisha yenu ya kimap3nzi mpaka kwenye maisha ya kawaida.
Wengi huwa hawaoni umuhiku wa kuwa wakweli kwa wenzi wao kwa kuamini kuwa hilo ni jambo dogo ambalo haliwezi kuathiri uhusiano wa watu wawili kwa namna yoyote. Kuamini hivyo ni makosa, map3nzi ya kweli yanajengwa katika ukweli, jitahidi kuwa mkweli kadiri uwezavyo utaona raha ya map3nzi.
Ipo imani kwamba eti wanawake wengi wanapenda kudanganywa ili wadumu kwenye mapenzi, binafsi sikubaliani na hili, ukweli utamfanya mtu aridhie mwenyewe namna ya kuishi na wewe kuliko kuendelea kumlaghai kwa maneno mengi ya uongo kila siku.
2. KUWA MWAMINIFU
Pengine hii ndiyo siri kubwa kuliko zote kwenye uhusiano wa kimap3nzi. Tunaishi katika ulimwengu unaokwenda kasi sana, teknolojia na mambo ya kisasa yanatubadilisha mfumo wa maisha yetu na kujikuta tukiwa kwenye hatari kubwa ya kuchepuka na kuwaumiza wenzi wetu.
Mtu yeyote anayejitambua na kuelewa anataka nini kutoka kwa mwenzi wake, kamwe hawezi kumsaliti kwa kutoka na mtu mwingine kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kukata tawi la mti ulilokalia.
Hata kama leo hajajua, umechepuka na kufanya kuwa siri yako, ipo siku atajua na pengine huo ndiyo utakuwa mwisho wa uhusiano wenu au mwanzo wa safari chungu ya kimap3nzi. Kuwa makini, baki njia kuu.
3. MHUDUMIE
Hii inawahusu zaidi wanaume, kama upo kwenye uhusiano wa kimap3nzi na mwanamke ambaye kweli unampenda na unataka kudumu naye maisha yako yote, jitahidi kadiri uwezavyo kumtimizia mahitaji yake muhimu.
Hulka ya mwanamke ni kwamba hata kama yeye anafanya kazi na ana mshahara mkubwa kuliko wewe, bado atataka umsaidie kwenye mambo mbalimbali yanayomhusu. Ukimtatulia shida zake, hata kama ni ndogondogo, atajiona yuko sehemu salama na kuzidisha mapenzi kwako, hataona sababu ya kuwa na mwingine wakati unamtimizia kila kitu.
4. MRIDHISHE
Siri nyingine kubwa katika uhusiano wa kimap3nzi wa watu wawili, ni kila mmoja kujua namna ya kumridhisha mwenzi wake na kukidhi haja kikamilifu muwapo far@gha.
Tendo la nd0a linalofanywa kikamilifu, linatajwa kuwa na nguvu ya kuwafanya wahusika kuzidi kupendana na kuwa karibu zaidi, hata kama watakuwa wanapitia katika misukosuko ya maisha. Jifunze namna ya kumridhisha mwenzi wako kikamilifu muwapo far@gha.

NIKIMFUMANIA MUME WANGU NTAMSAMEHE, KWA JINSI NNAVYOMPENDA.


Wiki hii kupitia ukurasa huu tunaye mwanadada anayefanya vizuri kwenye ulimwengu wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Sandra lakini jina lake halisi ni Salama Salmini.Ni mama wa watoto wawili na anaishi na mume wake. Mwandishi Wetu Mayasa Mariwata hivi karibuni alimbana kwa maswali 10 na bila hiyana alitoa ushirikiano katika kuyajibu, shuka naye…
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Salama Salmini 'Sandra'.
TQ: Ni kitu gani kilichokufanya udumu kwenye ndoa yako mpaka sasa jambo ambalo wasanii wengi linawashinda?Sandra: Unajua mwanamke mjinga anaivunja ndoa yake mwenyewe, mimi siyo mjinga hivyo nailinda kwa kadiri ninavyoweza. Uvumilivu, kupendana kwa dhati na kuheshimiana ndiyo siri kubwa.
TQ: Unapokuwa nyumbani kwako huwa unapendelea kuvaa mavazi ya aina gani, hususan ukiwa chumbani na mumeo?Sandra: Nikiwa nyumbani kwa kuwa naishi na wanangu huwa napenda kujifunga kanga na kuvaa madira lakini nikiwa chumbani, huko ni full kujiachia.
TQ: Inadaiwa wewe ni kati ya mastaa wasiopenda kufanya kazi za nyumbani na mara nyingi unamuachia majukumu hausigeli ikiwemo kumpikia mumeo, hili likoje?
Sandra: Sipendi kabisa mume wangu apikiwe chakula na hausigeli, mimi ni mwanamke ninayejua majukumu yangu, kwa hiyo hausigeli huwa ananisaidia tu.
TQ: Hivi siku ikitokea umemfumania mumeo utafanyaje?
Sandra: Kwa kweli naomba Mungu hilo lisitokee maana sijui maumivu nitakayoyapata, kwanza nitamsamehe sababu nampenda sana mume wangu.
TQ: Umeshawahi kuchepuka? Kuwa mkweli Sandra.
Sandra: Sijawahi kufanya hicho kitu wala sifikirii. Nifuate nini wakati kila kitu nakipata kwa mume wangu jamani? Sina tamaa za kijinga mimi.TQ: Hili la wasanii kuibiana mabwana halikutii hofu?
Sandra: Mimi sihofii hilo kabisa maana najiamini mno, kama mtu ni mal@ya, mal@ya tu hata umchunge vipi akiwataka atatembea nao.
TQ: Ni sehemu gani ambayo inakupa mzuka zaidi kwenye jumba la mah@ba?
Sandra: Ninapokuwa hayo maeneo kila kona ya mwili wangu huwa imejaa msisimko, ila napendelea zaidi ‘rom@nce’.TQ: Siku za wikiendi unapendelea kufanya nini?
Sandra: Napenda kutoka na familia yangu kwenda ufukweni kuogelea na kubadilishana mawazo na mume wangu.
TQ: Utapenda watoto wako warithi fani yako ya uigizaji?
Sandra: Sifikirii wanangu waje kuwa wasanii, kikubwa nawaombea mafanikio wawe watu bora zaidi kwenye taifa.TQ: Hivi baada ya kuolewa kwenda viwanja ndo’ basi?
Sandra: Naiheshimu sana ndoa yangu, sioni sababu ya kwenda kukesha klabu, huwa napenda kutulia chumbani na mume wangu na kutazama muvi.
GPL.

BANDAWE BADO ANAMKUBALI ROSE NDAUKA, JAPO WAMESHA ACHANA.


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe.
Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini mpaka sasa hajatokea kama yeye.

Rose Ndauka.
“Unajua mambo yanapotokea lazima kukubaliana nayo na huwezi kulazimisha. Tangu uhusiano wetu usambaratike, hajatokea kama Rose,” alisema Malick.

NATAFUTA MUME AMBAYE SIO STAA KAMA RAY" JOHARI


STAA mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na staa kama Vicent Kigosi ‘Ray’ bali anahitaji mume wa kawaida asiye maarufu. Akizungumza na Uwazi, Johari alisema kuwa kwa upande wake hachagui mwanaume gani wa kumuoa bali tu ajue kumthamini na kumuheshimu kama mwanamke.
Staa mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’.
Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe staa hata siku moja, nataka tu awe wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtafutaji,” alisema Johari.
Awali, Johari aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano wa kimap3nzi na nyota wa filamu, Ray na kuachana baadaye. Kama ni hivyo basi map3nzi yao yalikuwa ni ya ‘boyfriend’ na ‘girlfriend’ na wala si ndoa.

TIKO WA BONGO MOVIE ASAKA NDOA


MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan ‘Tiko’, amefunguka kuwa anashindwa kuolewa kutokana na kukosa mwanaume wa kufanya hivyo, ila yupo tayari kupokea barua ya uchumba kutoka kwa mwanaume yeyote atakayehitaji kufunga naye ndoa.
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan ‘Tiko’.
Akimwaga ubuyu na Uwazi, Tiko alisema bado hajapata yule ambaye anaweza kuwa mume wake hadi sasa japo amesubiri kwa kipindi kirefu.
“Akitokea mwanaume na kuja kutoa barua nyumbani hata leo, nipo tayari na naweza kuishi naye lakini haina maana kwamba kila mwanaume anaweza kuja kwetu na kufanya hivyo. Mwanaume ambaye atakuja anatakiwa awe anajitambua ili tuweze kujenga familia,” alisema Tiko.

DANCER WA DIAMOND AKUBALI KIAINA KUHUSIKA NA UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL


Kuanzia magazeti, mitandaoni mpaka kwenye redio… kwenye mtiririko wa stori za mastaa wa Tanzania zilizoongelewa au kuandikwa sana ndani ya wiki 6 zilizopita, hii ya mwigizaji Aunty Ezekiel kuwa na ujauzito na dancer wa Diamond Platnumz aitwae Mose Iyobo imo kwenye orodha. 
Wawili hawa walitajwa kuwa mapenzini kitambo na hata ujauzito wa Aunty iliandikwa kwamba baba kijacho ni Mose japo Aunty mwenyewe alikanusha.
Nakumbuka alisema ‘kuhusu taarifa za mimi kupewa ujauzito na Mose Iyobo, hizo taarifa mwenyewe nasoma kwenye magazeti nasikia kwenye Radio kama unavyosema lakini mimi binafsi ndio najua hii mimba ni ya nani‘ 

Pamoja na kukanusha huko, wawili hawa wameendelea kuchukua nafasi kwenye vichwa vya habari kutokana na post zao wenyewe kwenye page za instagram wanazomiliki ambapo wiki mbili zilizopita Mose aliweka hii picha hapa chini huku Aunty akiwa juu yake kitandani na kuandika ‘Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila……..?

VIDEO YA WASANII TUNDA NA STANI WAKIFANYA MAP3NZI YAVUJA....


Aibu! Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wamepiga picha za ng0n0 kisha kusambaa hadi kulifikia deski la Ijumaa Wikienda. 

Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wakijiachia.
Picha hizo chafu zilitua mezani kwetu wikiendi iliyopita ikiwa ni siku mahususi kwa wapendanao.
Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii.

Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana.
 
Source: GPL

AGNESS MASOGANGE AMPAGAWISHA NJEMBA SOUTH AFRICA MPAKA KATANGAZA NDOA.



Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.

Modo Agnes Masogange.
Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuwekeka wazi mambo yake ya kimap3nzi.





AMANDA WA BONGO MOVIES ANENA MAZITO KUHUSIANA NA MAP3NZI



Stori: Gladness Mallya

MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi amefunguka na kueleza siri nzito kuwa hawapendi wanaume kutokana na kufiwa na mchumba wake muda mfupi baada ya kuzungumza naye miaka…iliyopita.
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi. Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema stori ya mwanaume ambaye alikuwa ni mchanganyiko wa Mgiriki na Mbongo aliyejulikana kwa jina la Alan kila akiikumbuka huwa inamuumiza moyoni kwani ni mwanaume aliyekuwa na map3nzi ya dhati.

“Huwa naumia sana nikimkumbuka Alan mchumba ambaye alikuwa ameshajitambulisha kwetu lakini akafariki kwa ajali nusu saa baada ya kuzungumza naye kwenye simu akiwa Ugiriki huku akiniachia ujauzito wa miezi mitano lakini ilipofika miezi saba mtoto alifia tumboni. “Tangu hapo sipendi wanaume na sijawahi kumpata mwanaume mwenye upendo wa dhati kama huyo,” alisema Amanda.

YULE JAMAA ANAYEWATAKA WASICHANA KINGUVU MTANDAONI HUYU HAPA, APATA KICHAMBO CHA MWAKA


"Huyu kiumbe nimemchoka ndio wale niliokua nawalalamikia kila siku... Nishaongea kiistarabu nimechoka, matus! yote nimetukana yupo tu nikibloc k linafungua account mpya
... Jaman hiv kuna viumbe wamezaliwa kuwakera wenzao nakuwaharibia siku... Nakuchukia wewe furushi nakuchukia kama ninavomchukia shetan.. Nataman ningekukamata hakyamungu naapa hats panga ningekukata.. Khaaaaaaa hiv ungebahatika kua angalau hata hawara yangu ww mbwa cungepanda ungo untafute nilipo uniroge.. Nahasira jaman I hate this nguruwe..lugha ya mwisho ww nguruwe hii ni last worning kitachofuata ushawah ona wajinga wenzio wanavoeditiwa.. Okey go ahead"
MSUMBUFU
 
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga