Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

BATULI ALISIFIA JICHO LAKE, LINASEMA YA MOYONI ZAIDI YA MDOMO...


Urembo: Ni kweli macho ya naonge lakini hili la mwigizaji Batuli linaongea zaidi. Haya sio maneno yangu ni bali ni maneno yake mwenyewe alioyaandika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa amerembua.


“Look into my eyes and hear what I'm not saying, for my
eyes speak louder than my voice ever will.....”
Haya jamani wale mliosoma English Mediam, hebu malizieni hizo deshidesh...

UKIMYA WA MUDA MREFU WA "BATULI" UNA KISHINDO BONGO MOVIES.



BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’ amefunguka kuwa kimya chake hicho kina mshindo kwani kuna kitu kilimuweka bize hivyo watu wakae mkao wa kula atawasapraizi.
Diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’.
Batuli alisema hayo baada ya mashabiki kuuliza amepotelea wapi ambapo alisema kuwa aliamua kukaa kimya kidogo ili mashabiki wapate hamu ya kumuona kwani kitu alichowaandalia kiko njiani.“Ukimya wangu una sababu kubwa, nimeamua kufanya yangu ili mwisho wa siku nikiibuka nitoke na la kunitangaza,” alisema Batuli.
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga