Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

Majanga ONA Majanga!!!! Mpaka Kieleweke Leo!!


Kama kawaida, Cheka Upate Afya, leo nakuletea Picha niliyoipata katika mtandao wa kijamii huku ikiwa Commented ya Kwamba Mpare Utamjua Tu!!!! Walionaje hili?

Cheka Upate Afya, Waionaje Tathmini hii ya Elimu ya Bongo?!!!

-->

Hapo Vipi Mjomba? Kwa Hali hii Tutafika Kweli?!!!!!!!!!!

Angalia jinsi wanadamu wanavyokumbatiana kuepuka vishawishi "Holy Hug"




Kama picha inavyoonekana waionaje hii? Hapa cahji za vishawishi zitapita kweli? Definitely No!!!!

Angalia Jude Okoye alivyotandaza Dola akijiandaa kununua gari online

Kama anavyoonekana pichani, kaka mkubwa wa kundi la P squire akizimwaga zaidi ya dola za kimarekani 10,000 huku akiperuzi katika laptop gari gani jipya anunue. Mambo ya fedha hayo.

Bibi harusi afariki dunia saa moja kabla ya kufunga ndoa kanisani Tanga

-

->


Handeni. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Bibi Harusi ambaye ni mkazi wa Chanika mjini Handeni, Levina Mmasi (23) amefariki dunia saa moja kabla ya ndoa yake kufungwa katika Kanisa la Katoliki la Roma Wilaya Handeni Jumamosi na hivyo kuilazimu kamati ya maandalizi ya harusi kujigeuza na kuwa ya msiba.
Kifo hicho kilichotokea Jumamosi mwishoni mwa wiki iliyopita, kimekuwa gumzo mjini Handeni huku wananchi wakisema kuwa ni tukio ambalo halijawahi kutokea katika wilaya hiyo.
Msemaji wa familia ya marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Firmin Mrimasha, alisema kuwa chanzo cha kifo cha Levina ambaye alijifungua mwanzoni mwa wiki iliyopita,ilikuwa ni homa aliyoipata ghafla siku ya Alhamisi na kupelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni na kukutwa na malaria na kisha kulazwa kwa matibu.
 “
Huyu bibi harusi alikuwa ametoka kujifungua, alikuwa na mtoto wa kiume kutokana na ujauzito wa miezi saba, ndipo ghafla Alhamisi akapata homa tukampeleka hospitali alikolazwa na baada ya kupata nafuu, aliruhusiwa Ijumaa.



“Baada ya kuruhusiwa akaanza maandalizi ya harusi na Jumamosi ambayo ndiyo siku ya ndoa yake, alijiandaa lakini ilipofika saa 8.05 akafariki dunia akiwa nyumbani akisubiriwa kwenda kanisani kufunga ndoa ambayo ilikuwa ifungwe saa 9.00,” alisema Mrimasha.
Alisema, “Inasikitisha sana ila imeshatokea yaani marehemu amefariki saa moja kabla ya ndoa yake na baada ya kifo hicho, mtoto wake naye alifariki muda mfupi baada ya mama yake kufariki dunia,” alisema Mrimasha.
Akizungumzia mkasa huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi hiyo iliyogharimu Sh7.7 milioni, Abdi Kipacha alisema kuwa kwake ni tukio la kwanza kutokea tangu kuzaliwa kwake na kamwe hawezi kulisahau.
“Nilishazipangia kazi kamati za maandalizi, lakini ghafla tukapewa taarifa kuwa bibi harusi amefariki...Hatukuamini, ikabidi niwatangazie wanakamati wenzangu kuwa hakuna tena shughuli, bibi harusi amefariki,” alisema mwenyekiti huyo wa kamati na kuongeza:
“Kitu tulichokuwa tukisubiri ni kuambiwa bibi harusi angefika saa ngapi, lakini ghafla tukapewa taarifa za kifo, ilikuwa ni vigumu kuamini lakini ni kweli imetokea na inasikitisha kwani si jambo la kawaida,” alisema Kipacha.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na wanandugu ni kuwa marehemu alikuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Nndawa mkoani Lindi na kwamba alikuwa katika kundi la walimu wa ajira mpya ambayo hadi mauti yanamkuta alikuwa hajapokea hata mshahara wake wa awali.
Akizungumzia hali hiyo, Padri aliyekuwa afungishe ndoa hiyo, Max Sabuni wa kanisa hilo Katoliki Handeni alisema:       “Nimesikitishwa na tukio hili kwa kuwa halikuwahi kunitokea...Kilichobaki ni wanandugu kuwa watulivu kwa kuwa Mungu amechukua kiumbe wake kwa muda alioupanga.”
Aliwataka ndugu, jamaa na marafiki kuwa na subira katika kipindi hiki cha majonzi.
Source: Mwananchi

Mcheki alivyokuwa Kipindi hicho, unamwonaje na sasa?



Hivi ndivyo Beyonce alivyompongeza jay z, kwa kuiweka picha hii Istagram.

Angalia Mh. Sumaye Akiselebuka Katika Send Off ya Natasha


Wiki iliyopita, kulikuwa na Send off party ya Suzan Lewis, Maarufu kama Natasha, Muigizaji mkongwe wa filamu za Tanzania na Mama Mzazi wa Muigizaji Yvone Sherry maarufu kama Monalisa. Sherehe hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa wazi, miongoni mwa watu waliojitokeza kuinogesha ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Mh. Fedrick Sumaye, kama anavyoonekana akiselebuka hapo pichani.

Angalia Picha za Sherehe za Siku ya Jeshi la Nigeria

--> Angalia jinsi tarehe 6 July mambo yanavyokuwa huko Nigeria. Safari hii sherehe ziliazimishwa Katika Viwanja vya Ikulu ya nchi Hiyo.






Kipanya na wazee wa Fedha.


Angalia picha hiyo chini ikionesha fikra za wazee wa fedha wakiwa road, Yawezekana ni zaidi ya ukweli.

Angalia 11 Celebs wa Mbele wanavyong'aa na Blonde Hair Styles.

Whitney Port
Anne Hathaway

Emma Watson

Chloe Molertz

Gwyneth Paltrow

Sienna Miller
Jennifer Lawrence

Kate Hudson

Kate Moss

Millie Mackintosh

Cameroon Diaz

Picha ya Mapacha waliozaliwa tu wakashikana mikono yavuta hisia za wengi

--> Hii ni Picha ya Mapacha ambao soon baada ya kuzaliwa tu walishikana mikono huko Uhispania. Inapendeza eeh!!!

Kama Shemeji amefikia hivi Jiandae....!!!

Though inachekesha lakini hebu vuta picha ndo mkeo kashafikia hatua ya kuvaa size kama hiyo, basi kaka yangu jiandae kwa mengi, miongoni mwa hayo ni ugomvi na wanaume wenye macho kodo, gharama za ziada za usafiri ili kujilinda na mengine kibao.

Kim aapa kutobeba ujauzito tena

-->
Mwanadada Kim Kardashian amejiapiza kutozaa tena baada ya kuwa anasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo baada ya kujifungua.

Staa wa Nollywood atoa trela ya video yake mpya ya Ngono

-->
Kama inavyoonekana katika picha, video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la Destructive Instincts 3&4. Mwanadada Judith Okopara (41) mama wa watoto wawili ikafanya balaa lake. Kwa watu wazima tu Liknk ya Video hiyo ni hiyo hapo Chini.
http://gossipworldng.blogspot.com/

Nick Minaj Akaa Uchi katika front page la jarida la KING

--> Mwanadada Asiye ishiwa vituko, Nick Minaj amefanya balaa tena baada ya kupata tenda katika jarida la KING akiziacha sehemu zake za siri waziii.

Miongoni mwa Picha za Wababa waliotia fora kwa kucheza

Hii ni miongoni mwa picha katika collection ya hot 20 photos ya wababa waliotia fora kwa kucheza regardless their political or influential roles.
-->


Ronaldo amsaliti Mpenzi wake sababu ya Miss Bum Bum 2013













No wonder Cristiano Ronaldo didn’t play well during Real Madrid vs Borussia Dortmund match on Wednesday April 24th (Real lost 4-1 to Dortmund)…he had sex two days before…lol.
Andressa Urach (pictured above right) is claiming the star footballer, who is in a serious relationship with Russian super model, Irina Shayk, slept with her in a £12,500-a-night Villa Magna hotel on Monday April 22nd. Andressa is 2013 Miss Bum Bum Brazil queen. She told The Sun UK that Cristiano got in touch with her after seeing her photos online, and had sex with her just a day after Ronaldo was pictured leaving a restaurant with Irina (pictured left).
Andressa said she took a taxi to the hotel that Monday and waited for Ronaldo at the Lobby. Ronaldo eventually arrived in a grey Audi R3 and parked in an underground car park before taking a private lift to his room, from where he texted her his room number. The beauty queen said the sex was great.

“It was incredible, his body’s perfect, like a Greek god. He went on for hours and would not stop talking about my butt.’
Cristiano’s girlfriend, Irina, is known as one of the world’s top swimwear and lingerie models. Meaning her body is bad! Still he cheated on her. How much more us mere mortals! Lol. Men! Choi!!

Baba achoma moto mwanae sehemu za siri na mwilini kisha kutokomea kusikojulikana.


-->
The father of two year old girl has absconded after his attempts to cure her with boiling water left her with severe burns on her buttocks and genital parts.
The father, who is unidentified, is said to have held the little girl over boiling water to cure her of candidyasis.
But she fell into the hot water and sustained severe injuries. The young girl is currently at the 37 Military Hospital where she is receiving treatment. Doctors attending to the girl say she is responding to treatment.
Women’s rights group, WILDAF, which is assisting the mother of the girl to seek treatment, has condemned the father’s action.
Programme Coordinator Bernice Sam says his act constitutes abuse and negligence, for which he must be arrested.
She would however not ask for his imprisonment if found guilty. She suggested counseling for the man who is said to have fathered seven children with his wife.

Mchezaji wa Ligi Kuu ampiga Refa Ngumi na Kumtoa damu Puani

-->


Indonesian footballer Pieter Rumaropen, who punched a referee in the face, has been banned for life by the country’s football authority.
The striker for Papua province club Persiwa Wamena, punched referee Muhaimin after he awarded a penalty to Pelita Bandung Raya during a Super League match on Sunday in West Java’s capital Bandung.
Muhaimin was taken to hospital where he received four stitches.
The match was held up for 15 minutes before a replacement official took over and gave Rumaropen a red card.
Hinca Panjaitan, a member of the disciplinary commission of Indonesia’s Football Association, PSSI, said Rumaropen’s behavior damaged the image of the country’s football.
In 2008, PSSI imposed life bans on four players for beating up a referee and his assistants.
Rumaropen’s Persiwa Wamena were tied 1-1 with Pelita Bandung Raya on Sunday when referee Muhaimin awarded a penalty to Pelita with eight minutes left on the clock.
Video replays of the incident showed Rumaropen running up behind Muhaimin and landing a swinging left hook on the referee, who had to be admitted to a hospital due to excessive bleeding from his nose.
Persiwa, currently seventh in the 18-team league, lost 2-1 after their opponents converted the penalty.
Persiwa defender Richardo Roberto was also sent off in the first half of the match


Angalia Video

Beckham atolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kucheza rafu mbaya

Huko katika Legue 1 nchini Ufaransa na kuisababishia timu yake kumaliza mchezo ikiwa na wachezaji 8 wa ndani baada ya kutolewa yeye na mwenzie .Beckham ambaye aliingia uwanjani kipindi cha pili alimchezea vibaya

-->

Youssef Adnane  na kumfanya refa kumpa kadi nyekundu moja kwa moja. Angalia video chini
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga