Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

PICHA YA LEO: AGNESS MASOGANGE NA BALAA LAKE KWA WATAZAMAJI


Kama ilivyoo Kawaida yake, Mwana dada Agness Masogange ametupia picha hizo za kimitego katika page yake ya Instagram, Jionee Mwenyewe.




AGNESS MASOGANGE AMPAGAWISHA NJEMBA SOUTH AFRICA MPAKA KATANGAZA NDOA.



Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.

Modo Agnes Masogange.
Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuwekeka wazi mambo yake ya kimap3nzi.





MREMBO AGNESS MASOGANGE NA MTOTO CARAZON TOKA KENYA WAKUTANA, NANI ZAIDI?


Agness Masogange na Mwanadada Mkenya Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana uso kwa uso ,

Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja.....Kwa unavyoona Who is Cute zaidi?

5 HOT PHOTOS OF AGNESS MASOGANGE YOU MUST SEE



Mrembo Agness Masogange Akiwa Nchini
South Africa Ameachia Picha Mpya Kadhaa
Nimekuwekea hapa Chini na wewe Uzione:



Agness Masogange

MUONEKANO WA AGNESS MASOGANGE NA KIDUKU, UNAMWONAJE?!!!


Kiduku imekuwa miongoni mwa staili ya kunyoa kwa wasanii wengi hasa wanapodhamiria ubadilisha muonekano wao kwa kukata nywele zao. Mwanadada S3xy asiyeishiwa habari amepost picha hiyo katika mitandao ya jamii, vipi unamwonaje?!!
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga