Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » WEZI WAMWINDA MTOTO WA H BABA NA FLORA MVUNGI


Muigizaji wa filamu Flora Mvungi ambaye ni mke wa H.Baba, amedai a kuna watu waliofika nyumbani kwake zaidi ya mara tatu wakimtaka mfanyakazi wake awape mwanae wa kike, Tanzanite.
Akizungumza Flora amesema yupo katika wakati mgumu akihofia mtoto wake kutekwa na watu wasiojulikana.
“Nimepatwa na hofu sijui kama watu wanataka kuiba mtoto wangu ama vipi? Mara ya kwanza walikuja watu wawili, mwanamke na mwanaume wakamwambia dada wa kazi kuwa nimewaagiza wamchukue Tanzanite wampeleke shule, dada akawakatalia,” alisema Flora.

Amedai kuwa baada ya kukataliwa na mfanyakazi wake alikuja mtu mwingine mwanamke wa kiarabu akijifanya ni rafiki yake akiomba kitana achane nywele zake na kwamba aliingia hadi sebuleni akidai aachiwe mtoto lakini msichana wa kazi alikataa.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga