Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MITEGO YA MTOTO WA MJOMBA INANIWEKA NJIA PANDA


Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa nakuwa humo nikijisomea na kutumia computer.

Ndugu yangu huyu alikaa South Africa kwa muda kidogo alikuwa chuoni sasa amekuja hapa nyumbani kwa shangazi yake ambaye ni mama yangu, sasa amekuja na vichembe chembe vya tabia za huko yani hana aibu kabisa , mimi nikiwa katikati ya kujisomea anaweza akaja akaniomba nimpige picha, huwa wakati mwingine nakasirika kwani ananitoa kwenye mood ya kusoma ila nashindwa tu ni mfanyaje

Siku kama tatu zilizopita alikuja tena amevaa hovyo kweli anaomba nimpige picha ili amtumie boyfriend wake, daaaahh nilichoka sana alinikata stimu kweli kweli. Sasa simulewi ni kwamba amezoe tu yeye anaona ni kawaida au anataka mambo yetuuu..!! Ushauri wadau..!! 

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga