Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » MKE WA RAISI WA UFARANSA AKIMBIZWA HOSPITAL BAADA YA KUZIDIWA NA TAARIFA ZA USALITI WA MUMEWE


Mke wa Rais wa Ufaransa Valerie Trierweiler mapema mnamo siku ya Ijumaa ilibidi akimbizwe hospitali mara baada ya kupata habari kwamba mume wake ambaye ni Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, kuhusishwa kuwa na mahusiano na mwanamke mwengine wa nje.
Ofisi yake imesema Mwanamke huyo alikimbizwa hospitali kwa ajili ya mapumziko na kufanyiwa vipimo.

Mwanamke huyo ambaye yupo kwenye mahusiano na Mr Hollande bila ya ndoa alikimbizwa hospitali mara baada ya jarida la Closer kuchapisha picha zilizoonyesha mahusiano yake ya nje.

Kiongozi huyo wa Ufaransa hajakataa kwamba alifanya ziara ya siri kumtembelea muigizaji wa kike aitwaye Julie Gayet kwenye gorofa karibu na Elysee Palace ila amehoji kwa nini aingiliwe uhuru wa maisha yake binafsi.
DC

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga