Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MOURINHO HANA MPANGO WA KUONDOKA CHELSEA, LABDA WAMFUKUZE.


Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amefunguka na kusema kuwa asingependa kufundisha timu nyengine zaidi ya hii aliyonayo sasa iliyopo Stamford Bridge.
Meneja huyo wa zamani wa Real Madrid, hii ni mara ya pili kwake kukalia kiti hicho cha timu hiyo iliyopo kwenye jiji la London, amesema ataondoka Stamford Bridge kama ikitokea kutimuliwa.

"Sipo hapa kufikiria nitaenda wapi  sababu sitaki kwenda sehemu nyingine," Mourinho aliieleza gazeti la London Evening Standard.

"Nitaondoka na kwenda kwengine pale Chelsea watapoamua kufanya hivyo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga