Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

ZARI AFURAHIA WIVU UNAO ONESHWA NA DIAMOND KWAKE


Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye map3nzi ya kweli". Ukiona upo na mp3nzi na yeye hana wivu kwako basi hana map3nzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mp3nzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata Nasib naye huwa anachungulia nini The Boss Lady anakifanyaga kwenye simu.

Haya ndiyo maneno ya Zari "Thought i was the only one with this peeping habit��, your so busted B0o..

WEMA NA ZARI WA KIPINDI HICHOO, NANI MKALI?



Haya ni maisha bwana leo mtu yupo hivi kisho ivi na weza sema auwezi aminikama awa ndio wanao kimbiza bongo kipindi hiki chote ila uku ndiko waliko tokea kimaisha

ZARI 
WEMA SEPETU 

ZARI AMPEKUA DIAMOND PLATNUMZ IKULU KUCHEKI USALAMA WA MALI ZAKE


Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama ..


ANGALI PICHA ZARI AKIWA NA MWANAE, SO L0VELY


Kama Ilivyo ada ya mastaa mbali mbali ku share wonderful ,moments wakiwa na familia zo, kutana na Zari The Boss Lady na Mwanae, watch more pictures here
;-




ANGALIA DIAMOND ALIVYOMKAMATA "KALIO" ZARI THE BOSS LADY, NDO HABARI YA MUJINI.


Diamond Platinumz amedhihirisha ile research ya Uswaz iliyosema kwamba now days wanaume wanahusudu sana Makalio, na ikafika kipindi hawatajali how and where watayafanyia yao makalio hayo, jionee mwenyewe hiyo pic jinsi Diamond Platnumz alimvomkamata Kalio Mp3nz wake, Zari the Boss Lady...

ZARI APONDWA KWA KUPENDA KUMUIGA IGA WEMA SEPETU


Cheni na pete alizojinunuliwa Wema Sepetu siku za Nyuma
Baada ya Zari Kupost Picha Akionyesha Pete na Cheni ya Dhahabu aliyonunuliwa na Mp3nzi wake Diamond Kama zawadi huko Instagram limezuka jambo mashabiki wa Wema wakisema Anamwiga mtu wao kila anachofanya …Jisomee hapa huyu ni Shabiki mkubwa wa Wema Amendika hivi :
Mtaawapili

“Bibi zaituni acha tabia zako za copy na kupaste sio kila anachofanya wema na lazima ufanye utaumbuka bure…..nyie team nyoko nyoko ebu tafuteni kitu cha kufanya au mwambeni huyo bosslady awape kazi ya kufua ile sidiria kauka ni kuvae mfyuuuuu.hivi nyie mnajuwa kama wema anapenda gold sana na anazo nyingi mno.alipokuwa ck alipelekwa dubai kununuwa gold tu Google utaona .kama mtakumbuka vizuri wema na domo walikuwa china walinunua gold za gram 50 kila mtu

KAMA BADO HAUAMINI ZARI NI MAMA KIJACHO, CHEKI PICHA HAPA


Sio nia kumtaja baba wa mtoto lakini ni dhahiri ya kwamba malkia huyu kutoka nchin uganda ni mjamzito.

JAPO YA SIKU CHACHE KIDOGO, LAKINI ICHEKI HIYO INTERVIEW YA ZARI TOTO LA DIAMOND




Exclusive Interview of Diamond's Babe, Zari the Boss lady..... Haya Endelea

DIAMOND KUBEBA MAPOCHI YA ZARI THE BOSS LADY, NI MAHABA AU UTUMA WA PESA


 
Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mp3nzi wake Zarri The Boss Lady, wambea washaanza kuongea, kwamba jamaa hanajinsi maana kazidiwa ki mkwanja na mrembo huyo. 
Wengine wakasema ni Mahaba tu... jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo


DIAMOND AMEANZA KUNUNUA MIDOLI KWA AJILI YA MTOTO WAKE NA ZARI THE BOSS LADY


Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya

kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:

KAULI YA WEMA KUHUSU MIMBA YAKE YAMCHEFUA ZARI



Hii ni kwa mujibu wa Miss Tanzania huyo
mwaka 2006 na ex wa Zari Diamond
Platnuimz.
Picha hiyo haipotena lakini Zari alifanikiwa
kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake na
kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kauli ya
wema kwenye picha hiyo isemayo Mimba is
'My Foot'
Kwa mujibu wa Urbandictionary msemo wa
'my foot' humaanisha; An
exclamation that means that one believes
the previous speaker's statement to be untrue
Mrembo huyo wa Uganda anayetarajia
kumzalia Diamond mtoto wake wa
kwanza,aliipost picha hiyo na kuifuta tena
baadaye na kuandika;"Astagafuhulah!Some
time we have ton wish people good,this is too
much jamani hmmmm.

MUME WA ZARI AMCHUKUA WEMA SEPETU KULIPIZA KISASI



Kuanzia Kulia: King Lawrence,
Ivan Ssemwinga na Wema
Sepetu
Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The
Bosslady na aliyezaa naye watoto watatu
ameanza kurusha mashambulizi kwa adui yake
namba moja, Diamond Platnumz.
Mfanyabiashara huyo mwenye makazi yake
nchini Afrika Kusini huenda akalipiza kisasi kwa
Diamond anayetarajia kupata mtoto wake wa
kwanza kutoka kwa Zari kwa mbinu ya ‘jino
kwa jino’ ama zile za ‘kama noma basi iwe
noma’.
Picha liko hivi, Wema Sepetu kumbe yupo
nchini Afrika Kusini ambako hata hivyo
hatufahamu ameenda kufanya nini.
Mshkaji wa karibu wa Ivan, King Lawrence
(Yule mchizi aliyempa ofa Diamond ya $40,000
ili aachane na Zari), ameshare picha kwenye
mtandao wa Instagram akila bata na Wema
huku Ivan akiwapo pia.

Kuanzia Kushoto: Wema, Ivan na Lawrence
akiwa na demu wake
Kwenye picha hizo, Lawrence anaonekana akiwa
amekaa juu ya mapaja ya msichana asiyejulikana
na pembeni yake yupo Ivan huku Wema
aliyevaa kigauni kifupi cheusi akiwa kulia
kwake.
Lawrence pia amepost video kadhaa akiwa
kwenye club hiyo na kuziandika ujumbe wa
mfumbo ambao unaeleweka wazi kuwa
unawaendea Zari na Diamond. “Rich Gangstas –
What goes around comes around,” ameandika.
“Oh Z*** get out of the way,” ameandika
kwenye video nyingine ambayo unasikika
wimbo wa Ludacris, Move Bitc*.
Awali Lawrence alipost picha nyingine hiyo chini
akiwa kwenye eneo lile lile ambalo Wema
alipiga picha.
Ni mapema sana kuhitimisha kuwa Ivan anataka
kulipiza kisasi kwa Diamond.


Wema, lakini ni 

HOT PHOTO OF ZARI THE BOSS LADY, NDO MAANA DIAMOND KAGANDA



Mrembo tajiri wa Uganda, Zarina Hassan, au Zari The Boss Lady ambaye amedumbukia katika P3nzi zito na nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ametupia ka picha cha utata kaki muonesha akiwa na ki bkni ndani ya pozi la kujiandaa kuogelea.

Kwa staili hii ndo maana Platinumz kadata.

DIAMOND AMJIBU KWA VITENDO EX-LOV3R WA ZARI





STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenz wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.…
Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6.
Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond.
STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.
Diamond akipozi na mpenzi wake Zari.
King Lawrence ambaye ni binamu wa aliyekuwa mume wa Zari aliyezaa naye watoto watatu Ivan amekuwa akimnanga Diamond mitandaoni hasa Instagram kama mtu aliyefulia na hana fedha ambapo siku za nyuma aliwahi kuandika post akisema kuwa yuko tayari kumpatia kiasi cha Usd 40,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 71 Diamond aachane na Zari.

Katika kuonyesha kuchoshwa na tabia hizo za King Lawrence, Diamond ameamua kutupia picha yake akiwa amepanda baiskeli huku mpenzi wake Zari akiwa katika mkoko mkali aina ya BMW X6 akimaanisha kumkebehi mtu huyo kuonyesha kuwa hana kitu ila anaomba penzi kwa mtoto mkali aliye kwenye BMW.

DIAMOND NA BABY WAKE NDANI YA SONGEA, KUIPA SUPPORT CCM


MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenz wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

WEMA ALIPIGA MNADA GARI ALILOHONGWA NA DIAMOND


Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.


KUMBE LIPO KWA DALALI
Habari za kiwango kutoka kwa mnyetishaji wetu zilidai kwamba gari hilo lipo kwa dalali wa kike maarufu ajulikanaye kwa jina moja la Tindwa kwa ajili ya kulitafutia mteja.

NI KISASI?
Ilidaiwa kwamba, Wema ameamua kufanya hivyo kwa kuwa ana kisasi na hasira kwa Diamond kwa kuwa jamaa huyo kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Uganda, Zarinah Hassani ‘Zari au The Boss Lady’.

“Watu wanadhani Wema anafurahishwa na Diamond kutupia mapicha na Zari baada ya kuwasifia juzikati.
“Ukweli ni kwamba hivi sasa Wema anakereka sana na jinsi Diamond anavyoweka mapicha yake na Zari wakiwa sehemu mbalimbali na anaona kuwa na gari ambalo amepewa zawadi na Diamond ni kujipa kero zisizokuwa na sababu hivyo ameamua kuliuza,” kilisema chanzo hicho.

HALIJAPATA MTEJA
Mpashaji wetu huyo alizidi kunyetisha kwamba pamoja na gari hilo kuwa sasa bado liko sokoni lakini halijapatia mteja wa kulinunua kitu ambacho kinazidi kumkera Madam.
“Bado gari halijapata mteja ‘so’ kitendo hicho kinamkera sana Wema kutokana na gari hilo kutouzika mapema kwa maana kila anapoliona hajisikii vizuri kabisa,” kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotajwa gazeti kwani ni ‘besti’ mkubwa wa Wema.

WEMA ANASEMAJE?
Baada ya kupewa ubuyu huo, gazeti hili lilimsaka Wema ambaye alipopatikana alidai yupo bize akiandaa shoo zake za mkoani Dodoma na Morogoro.
“Ngojeni kwanza nimalize shoo zangu za mikoani. Kwa sasa nipo Dodoma nikimaliza naenda Morogoro,” alisema Wema kwa ahadi kuwa atafafanua suala hilo vizuri akitulia.

TUMEFIKAJE HAPA
Diamond alimzawadia Wema gari hilo lenye thamani ya Sh. milioni 36, siku ya bethidei ya mwanadada huyo iliyofanyika Septemba 28, mwaka jana.
Siku chache baadaye Wema alidai kummwaga jamaa huyo huku akieleza kwamba hapendi kuliona wala kulitumia gari hilo kwani lilikuwa likimzidishia chuki juu ya jamaa huyo.

.

HATIMAYE WEMA AUKUBALI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI


U Heard ya juzi December 29 iko hapa, Gossip Cop alihudhuria shughuli ya kutambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana December 28, akapata nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.
Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake.
“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness …” Wema Sepetu.
Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole na mlango wa gari.

ZARI NA DIAMOND WALIVYOJIACHIA MWAKA MPYA RWANDA



Baada ya show yake ya Burundi, Diamond Platnumz amefunga safari na Zari The Boss lady wakielekea Rwanda ambako kwa mujibu wa Post ya Diamond, atakuwa huko mpaka mwaka 2015.




ZARI NA DAIMOND MAMBO NI MOTOMOTO, CHEKI MAPOKEZI YA DAIMOND KAMPALA JANA...


Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa…
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Uganda.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.
Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.
Diamond Platnumz na Zari wakijiandaa kuongea na wanahabari jana.
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' ameondoka Tanzania jana mchana na kuelekea Uganda kwaajili ya hafla ya Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady inayoitwa ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika Kampala.
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga