Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » » MUME WA ZARI AMCHUKUA WEMA SEPETU KULIPIZA KISASI



Kuanzia Kulia: King Lawrence,
Ivan Ssemwinga na Wema
Sepetu
Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The
Bosslady na aliyezaa naye watoto watatu
ameanza kurusha mashambulizi kwa adui yake
namba moja, Diamond Platnumz.
Mfanyabiashara huyo mwenye makazi yake
nchini Afrika Kusini huenda akalipiza kisasi kwa
Diamond anayetarajia kupata mtoto wake wa
kwanza kutoka kwa Zari kwa mbinu ya ‘jino
kwa jino’ ama zile za ‘kama noma basi iwe
noma’.
Picha liko hivi, Wema Sepetu kumbe yupo
nchini Afrika Kusini ambako hata hivyo
hatufahamu ameenda kufanya nini.
Mshkaji wa karibu wa Ivan, King Lawrence
(Yule mchizi aliyempa ofa Diamond ya $40,000
ili aachane na Zari), ameshare picha kwenye
mtandao wa Instagram akila bata na Wema
huku Ivan akiwapo pia.

Kuanzia Kushoto: Wema, Ivan na Lawrence
akiwa na demu wake
Kwenye picha hizo, Lawrence anaonekana akiwa
amekaa juu ya mapaja ya msichana asiyejulikana
na pembeni yake yupo Ivan huku Wema
aliyevaa kigauni kifupi cheusi akiwa kulia
kwake.
Lawrence pia amepost video kadhaa akiwa
kwenye club hiyo na kuziandika ujumbe wa
mfumbo ambao unaeleweka wazi kuwa
unawaendea Zari na Diamond. “Rich Gangstas –
What goes around comes around,” ameandika.
“Oh Z*** get out of the way,” ameandika
kwenye video nyingine ambayo unasikika
wimbo wa Ludacris, Move Bitc*.
Awali Lawrence alipost picha nyingine hiyo chini
akiwa kwenye eneo lile lile ambalo Wema
alipiga picha.
Ni mapema sana kuhitimisha kuwa Ivan anataka
kulipiza kisasi kwa Diamond.


Wema, lakini ni 

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga