Latest
Tafuta Hapa
Kali za Facebook
Labels
- Agness Masogange (5)
- Aisha Bui (1)
- Ajali (5)
- Ali Kiba (5)
- Aunty Ezekiel (8)
- Baby Madaha (2)
- Batuli (2)
- Bob Junior (2)
- Bongo Flavor (35)
- Bongo Movie (46)
- Chriss Brown (1)
- Dawa za Kulevya (2)
- Diamond Platnumz (47)
- Drake (1)
- Dully Sykes (1)
- Elizabeth Michael (3)
- Escrow (9)
- featured (24)
- Fumanizi (11)
- Gardner (1)
- Geor Davie (1)
- Global Publishers. (18)
- Habari Picha (78)
- Habari za Kimataifa (209)
- Habari za Kitaifa (216)
- Halima Ally (1)
- Hamisa Mobeto (1)
- Huddah Monroe (1)
- Irene Uwoya (3)
- Jacqueline Wolper (4)
- Jamii Forums (79)
- Jokate (1)
- Kajala Masanja (5)
- Lady Jay Dee (6)
- Lilian Kamazima (1)
- Lulu (5)
- Magazeti na Picha (2)
- Mainda (1)
- Maisha (66)
- Malick Bandawe (2)
- Mapenzi (197)
- Maunda Zorro (1)
- Michezo na Burudani (72)
- Miss Tanzania (9)
- Mpira (6)
- Mr Blue (1)
- Muziki (12)
- Mwana Fa (1)
- Ney wa Mitego (1)
- Nyota wa Bongo (120)
- Ommy Dimpoz (9)
- Original Comedy (1)
- P Square (1)
- Picha za Utupu (46)
- Ray C (1)
- Rihanna (1)
- Rose Ndauka (2)
- Sabby Angel (2)
- Shetta (1)
- Shilole (3)
- Sitti Mtemvu (6)
- Udaku Magazetini (37)
- Udaku wa Africa (234)
- Udaku wa Tanzania (253)
- Udaku wa TZ na Africa (21)
- Udaku wa Ulaya (189)
- Ufuska (152)
- Uhuru Kenyatta (1)
- Ujana (35)
- Urembo (11)
- Uswazi. (32)
- Video (9)
- Wasanii (54)
- Wema Sepetu (36)
- Zari The Boss Lady (29)
- Zitto Kabwe (1)
Feature
Udaku wa Africa
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Mapenzi
Michezo na Burudani
Udaku wa Ulaya
BAADA KUKOSA MUME, MISS DODOMA AAMUA KUOKOKA
Baby Madaha, Miss Tanzania, Udaku wa Tanzania, Urembo
Aliyekuwa Miss Dodoma mwaka 2005, Eva Evans amemrudia Mungu kwa maana ya kuokoka kwa kile alichodai kutotimia kwa malengo aliyojiwekea.Akizungumza na mwanahabari wetu, Eva alisema tangu akiwa mdogo, alijiwekea kiapo kuwa endapo atashindwa kumpata mume mwema, basi atafanya kazi ya kumtumikia Mungu.
“Baada ya kupitia urembo nilichumbiwa, hapohapo nikaanza kuhudhuria mikutano mbalimbali ya neno la Mungu, siku moja Nabii akitoa neno, nilimsikia akisema kuna binti mmoja hapa anataka kuolewa apite mbele haraka sana, basi nikapita mbele na nilipofika pale alianza kuniombea na baadaye alianza kuniuliza maswali.
Eva alifunguka kuwa katika mashindano ya urembo kuna uchafu mwingi hivyo akawashauri wasichana walioko huko kumrudia Mungu.
SAD " KUCHA YA BANDIA YATOA UHAI WA BIBI HARUSI"
featured, Habari za Kitaifa, Urembo
“Sijui walitumia gundi ya aina gani kumbandikia kucha mwanangu, mpaka sasa sielewi, mtoto mwenyewe ndiyo huyo huyo mmoja wa kike niliyekuwa nikimtegemea na ndiyo kwanza ndoa yake bado change kabisa hata mwezi mmoja haina, huu ni mtihani mkubwa kwangu na kwa mumewe ambaye wamefunga naye ndoa wiki tatuzilizopita, inauma sana lakini tunamwachia Mungu.”Picha ya MarehemuNi maneno ya mama mzazi wa Sophia Komba aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es Salaam, baada ya kupata kidonda kwenye kidole chake cha mkono wa kushoto alipokuwa akibandua kucha za bandia alizobandikwa siku ya harusi yake na kusababisha apatwe na tetenasi.
Sophia hadi kifo kinamkuta alikuwa na umri wa miaka 28, Oktoba 15 alifunga ndoa na Richard Mmary katika harusi ya aina yake iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wakisimulia namna walivyomuuguza Sophia kwa takriban wiki moja na nusu, mume wa marehemu anasema wiki moja baada ya sherehe ya harusi yao, Sophia aliamua kwenda tena salon kwa ajili ya kutengeneza nywele na kutoa kucha alizobandikwa siku ya harusi yao.
“Ilikuwa siku ya Jumamosi jioni, Sophia aliniaga anaenda saluni, alirudi baada ya saa mbili kupita lakini alikuwa akilalamika kuwa kidole kinamuuma sana, nikamuuliza amefanya nini akanijibu kuwa alikuwa anabandua kucha, lakini bahati mbaya kucha moja inaonekana ilibandikwa vibaya walipokuwa wanaibandua ilibanduka na ngoziya pembeni ya kidole na ikamuachia kidonda.
“Sikujali sana nikajua nikidonda cha kawaida tu,nikaenda kwenye duka la dawa nikamnunulia spiriti nikamsafisha lileeneo, lakini kilichonishangaza alikuwa akilalamikia maumivu makali,” anasema.
Mama yake Sophia, Victoria Haule anasema kuwa anaamini kuwa kifo cha mwanaye kimetokana na kucha bandia ambayo ilimsababishia apatwe na tetenasi.
“Tulipoona maumivu yanamzidia, tulimpeleka Hospitali ya Sinza, daktari alipomfanyia vipimo alitutaka tumpelekeHospitali ya Mwananyamala kwa matibabu zaidi, kwa kuwa alibaini kuwa Sophia ana tetenasiiliyosababishwa na kile kidonda.
Binafsi niliamini kucha ile ndiyo tatizo, kwa kuwa ilifikia hatua mkono mzima ukawa umevimba na kubadirika rangi na kuwa mweusi sana kama damu imevilia,” anasimulia mama yake Sophia.
Kwa maelezo ya nduguhao wa marehemu, Sophia alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu na kwa mujibu wa daktari kifo chake kilisababishwa na tetenasi.
Angalizo
Mabibi harusi wengi hivi sasa na hata wanawake kwa wasichana wanapendelea sana kubandika kucha bandia wakilenga kuboresha mwonekano wa vidole vyao.
Wengi hupenda kuwa na kucha ndefu ambazo huzipaka rangi na hivyo kuvutia pindi mtu azionapo.
Licha ya wao kuona kuwa kwa kufanya hivyo hupendeza, daktari mmoja wa magonjwa ya ngozi, anasema urembo wa kubandika kucha una athari zake kutokana na kutumika kwa gundi ambayo hunatahata kwenye ngozi.
Dk. Patrick Kashaija, wa Hospitali ya St. Benedict ya jijini Dar es Salaam, anasema amewahi kukutana nakesi za aina kama ya marehemu Sophia nyingi ambazo husababishwa na kubandikwa kucha za bandia.
KUJIREMBA KUNAKOPITILIZA HUPUNGUZA HAMU YA MAPENZ KWA WANAUME
Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujiremba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!
Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojiremba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenz inavyopungua.
Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.
Tafadhali karibuni kwa mjadala huu
~Written By Kibo10 via JF
SITTI MTEMVU ATOWEKA KIAINA MJINI
Miss Tanzania, Sitti Mtemvu, Urembo
WAKATI suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Risasi Mchanganyiko limechimbua stori kamili.
Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi.
Mapaparazi wetu walipofika katika nyumba waliyoelekezwa, walikuta imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Vikoba ambapo mmoja wa wahudumu wa ofisi hiyo kwa sharti la kutoanika jina lake gazetini, aliwataka waandishi wetu kwenda Mbezi-Makonde akidai ndiko anakoishi kwa sasa.
“Hapa ilikuwa nyumba ya zamani lakini kwa sasa ni ofisi na Sitti hakai hapa, kama mnamtaka nendeni Mbezi-Makonde huko nasikia ndiko anakoishi,” alisema mtumishi huyo.
Mapaparazi wetu hawakuchoka, walifunga safari hadi Mbezi-Makonde ambapo walikuta nyumba yenye maduka yaliyoandikwa Mtemvu Foundation, wakaenda moja kwa moja katika saluni mojawapo iliyokuwa na bango lililosomeka Malisa huku likiwa na picha ya Sitti sambamba na namba za simu.
Dada mmoja aliyeonekana kufanana na Sitti alizidi kutibua hali ya hewa baada ya kusema Sitti amesafiri nje ya nchi pasipo kufafanua nchi gani.“Sitti amesafiri nje ya nchi, ila kama mnamtaka nafikiri nitawapa namba zake akirudi kati ya Jumatatu au Jumatano ya wiki ijayo (wiki hii),” alisema dada huyo pasipo kutaja jina lake.
Mmoja wa majirani wa mrembo huyo alihoji inawezekanaje mrembo huyo akasafiri nje ya nchi wakati suala lake la umri halijapata ufumbuzi?“Mh! Ataondokaje wakati bado ana majanga ya umri?” alihoji jirani huyo.
Aidha, mapaparazi wetu hawakutaka kuishia hapo, Jumapili iliyopita walitia timu Buza Kipera katika Kanisa la The Revelation Church la Nabii Yaspi Bendera ambalo ilielezwa kuwa Sitti anaabudu, ili kujiridhisha kama yupo, lakini pia hakuonekana huku waumini wakidai hawajamuona kwa siku za karibuni.
Nabii Yaspi Bendera wa Kanisa la The Revelation Church.
“Hatumuoni siku hizi, ila alikuwa anakuja katika ibada ya peke yake kwa nabii saa kumi lakini siku za karibuni hatumuoni,” alisema muumini mmoja.Katika ibada inayoendeshwa kanisani hapo ambayo mapaparazi wetu walizama ‘kiintelijensia’, Nabii Yaspi alisikika akimkingia kifua Sitti kuwa alistahili ushindi na kumtabiria kufika mbali na hata kuwa Miss World huku akiwaonya wanaomfuatilia mrembo huyo.
“Mara ya kwanza nilimtabiria Sitti kushinda u-miss Tanzania na kweli akashinda, sasa wanatokea watu wakidai mara ana hipsi kubwa, ooh kadanganya umri, huu wote ni upepo tu na utapita.“Kama Sitti hatakengeuka kwenye imani yake atafika mbali zaidi na kushinda hata Miss World. Wale wote watakaoendelea kumfuatilia wataparalaizi,” alisema Nabii Yaspi.
Hadi mwishoni mwa wiki iliyopita, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), walisema bado wanalifanyia uchunguzi suala la Ritta kudaiwa kufoji cheti cha kuzaliwa kutokana na baadhi ya nyaraka zake kuonesha amezaliwa mwaka 1989 huku yeye akidai amezaliwa 1991.
Wakati RITA na BASATA wakiwa hawajatoa tamko lolote kufuatia uchunguzi waliodai wataufanya, gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara ili azungumzie sakata hilo.
“Waziri ni mtu mkubwa sana kuzungumzia suala kama hilo, watafute wasaidizi wangu pale wizarani watakuambia kinachoendelea. Naweza kutoa tamko halafu nikaonekana mtu wa ajabu, kumbe watu wanaendelea kulifanyia kazi, nenda kamuone Mkurugenzi wa Utamaduni atakusaidia,” alisema Waziri huyo alipozungumza nasi kwa njia ya simu.
UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA NA MADUDU YA RITA.
Miss Tanzania, Nyota wa Bongo, Sitti Mtemvu, Urembo
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), bila shaka mko vizuri mnaendelea kusimamia jukumu zito katika taifa letu.Usajili, Ufilisi na Udhamini siyo kazi ndogo. Ni kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu maana matokeo ya ufanisi wenu ndiyo majibu ya shughuli nyingi katika nchi.
Watu wakitaka kusafiri, kutambulika katika maeneo mbalimbali nyinyi lazima mhusike kutatua.
Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimewakumbuka leo kupitia barua hii ili niweze kuwafikishia yaliyoko katika akili yangu ndogo.
Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimewakumbuka leo kupitia barua hii ili niweze kuwafikishia yaliyoko katika akili yangu ndogo.
Madhumuni ya barua hii kwanza kabisa ni kutaka kuwauliza, hivi mmewahi kuwaza kwamba kuna uwezekano mkubwa wa watu kufanya madudu ya kufoji vyeti kama anavyodaiwa kufanya mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu?Kwa kuanzia eneo hilo, ni vyema basi chombo chenu kikafanya tathmini upya katika kuhakiki taarifa mbalimbali na kuweka mfumo mzuri wa kudhibiti mtu kufanya udanganyifu wa aina yoyote.
Msisubiri hadi yatokee ya kutokea ndiyo muanze kuchukua hatua.
Kupitia suala la Sitti ni dhahiri inaonesha kuna walakini kwenye ofisi yenu. Haiwezekani nyaraka nyingine za mtu huyohuyo mmoja zioneshe kwamba amezaliwa mwaka 1989 huku mwenyewe akidai kuwa amezaliwa mwaka 1991.
Kupitia suala la Sitti ni dhahiri inaonesha kuna walakini kwenye ofisi yenu. Haiwezekani nyaraka nyingine za mtu huyohuyo mmoja zioneshe kwamba amezaliwa mwaka 1989 huku mwenyewe akidai kuwa amezaliwa mwaka 1991.
Kinachonisikitisha zaidi mhusika anadai eti cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na akadai kuwa mmempatia kingine kipya Septemba 9, mwaka huu.Alipoulizwa kwamba alitoa taarifa katika kituo gani cha polisi juu ya upotevu wa cheti chake hakuwa na jibu la kueleweka, mlimpaje?
Wakati umri wa mrembo huyo ukiendelea kuwa gumzo kwa takriban mwezi mzima, RITA mliendelea kuziba mdomo katika kung’amua umri halisi wa binti huyo licha ya wadau mbalimbali kuhoji juu ya hilo. Mtendaji Mkuu wa RITA, Jumamosi iliyopita alikaririwa katika chombo cha habari akisema bado wanaendelea kumchunguza miss huyo. Hadi lini?
Labda sina uzoefu juu ya mambo ya uchunguzi lakini kweli mfumo mlionao si rafiki kiasi cha suala hilo kuchunguzwa kwa zaidi ya wiki tatu? Nafikiri kuna haja ya kwenda mbele zaidi ya hapo. Dunia ya leo kila kitu kinakwenda katika mfumo ‘data base’ kwenye kompyuta.
Kwa nchi za wenzetu ni rahisi tu mtu kupata taarifa zake, tena hakuna kificho ndiyo maana utata wa Sitti ulipokuwa ukiendelea, watu ‘wali-google’ tu na kupata taarifa zote za Sitti kule Texas, Marekani na kila kitu kikawekwa hadharani. Kuanzia leseni ya udereva hadi hati ya kusafiria.
Ni wakati sasa umefika tubadilike, tutengeneze mfumo wa kuweka wazi data. Isichukue muda mrefu kubaini taarifa za mtu hususan katika suala la utaifa kama la Miss Tanzania ambaye anatakiwa akaiwakilishe nchi katika mashindano ya urembo ya dunia.
NAFASI YA HIGH HEELS KWA MVUTO WAKO MWANAMKE
Kinadada wengi wanavaa viatu virefu kwa mazoea au wakati mwingine kwa kuona mwenzake amevaa na amependeza.
Kupendeza kwa mmoja kunaweza kuwashawishi wengi kujaribu kuvaa viatu hivi bila kujua kuwa vinaweza kubadilisha mwonekano wake kulingana na namna unavyoweza kuvimudu.
Kiatu hiki kinaweza kuongeza mvuto wako endapo utaweza kukimudu na kutembea nacho kwa uhuru bila kuwa na wasiwasi wowote.
Kuweza kuhimili viatu virefu kunamfanya mvaaji kuonekana mrembo na mwenye kujiamini. Ni viatu ambavyo vinaweza kuonekana kwenye mazingira yoyote isipokuwa kwenye michezo.
Tofauti na aina nyingine za viatu hivi inaweza kuvaliwa na nguo yoyote iwe sketi ndefu au fupi, gauni refu na fupi, suruali za kitambaa na jeans.
Kama unajiona huwezi basi usivae kabisa kwani vinaweza kukupotezea mvuto wako na kuwa kichekesho mbele za watu kutokana na namna utakavyoonekana ukihangaika nacho
Imeandaliwa na Elizabeth Edward
HAYA NDO MACHACHE YA HAMISA MOBETO....
Hamisa Mobeto, Udaku wa Tanzania, Urembo
Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila
lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling
ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la Miss XXL BACK TO
SCHOOL BASH Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds
Fm. Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na
alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa
pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss
Tanzania.
Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.

Kutokea Hapo hamisa amekuwa gumzo kwenye tasnia ya uanamitindo na
filamu pia. Pia amisa ni video vixen na wengi mnaweza kumuona kwenye
video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014 Hamisa alitokea kwenye
cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya.

filamu pia. Pia amisa ni video vixen na wengi mnaweza kumuona kwenye
video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014 Hamisa alitokea kwenye
cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya.
Akiwa Ndio kwanza ana miaka 21 Hamisa ni mtu wa kuangaliwa sana sababu anategemewa kufanya mambo makubwa zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Miongoni mwa kampuni kubwa za Movie za Ngono zimejipanga kwenda Mahakani kupinga pendekezo la Sheria mpya ya kuwataka wahusika wake kuvaa...
-
Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi....
-
Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa ...
-
--> Picha hizo zimepigwa katika mikesha ya miziki ya usiku, maarufu kama Vogodoro, angalia jinsi mabinti hao walivyokosa nidhamu na...
-
Ingawa Yamesemwa mengi katika mitandao mbali mbali kuhusiana na kufumwa kwa picha hizo, ukweli ni kwamba picha hizo hazikufumwa bali ziliwe...
-
Hebu jionee mwenyewe picha ya bi mkubwa huyo, udenda unamtoka akilazimisha kutoa "nanii" ya huyo mvulana ili "ampige mambo ye...
-
Kijana Jack Wall, 22, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga na kumuua aliyekuwa Mpenz wake, Amelia ...
-
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga w...
-
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), bila shaka mko vizuri mnaendelea kusimamia jukumu zito katika taifa letu.Usajili, Ufilisi na ...
Labels
Agness Masogange
Aisha Bui
Ajali
Ali Kiba
Aunty Ezekiel
Baby Madaha
Batuli
Bob Junior
Bongo Flavor
Bongo Movie
Chriss Brown
Dawa za Kulevya
Diamond Platnumz
Drake
Dully Sykes
Elizabeth Michael
Escrow
featured
Fumanizi
Gardner
Geor Davie
Global Publishers.
Habari Picha
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Halima Ally
Hamisa Mobeto
Huddah Monroe
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Jamii Forums
Jokate
Kajala Masanja
Lady Jay Dee
Lilian Kamazima
Lulu
Magazeti na Picha
Mainda
Maisha
Malick Bandawe
Mapenzi
Maunda Zorro
Michezo na Burudani
Miss Tanzania
Mpira
Mr Blue
Muziki
Mwana Fa
Ney wa Mitego
Nyota wa Bongo
Ommy Dimpoz
Original Comedy
P Square
Picha za Utupu
Ray C
Rihanna
Rose Ndauka
Sabby Angel
Shetta
Shilole
Sitti Mtemvu
Udaku Magazetini
Udaku wa Africa
Udaku wa Tanzania
Udaku wa TZ na Africa
Udaku wa Ulaya
Ufuska
Uhuru Kenyatta
Ujana
Urembo
Uswazi.
Video
Wasanii
Wema Sepetu
Zari The Boss Lady
Zitto Kabwe









.jpg)



