Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » HAYA NDO MACHACHE YA HAMISA MOBETO....



Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila
lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling
ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la  Miss XXL BACK TO
SCHOOL BASH  Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds
Fm. Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na
alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa
pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss
Tanzania.
Hamisa-Mobeto-slide--vibe-co-tz
Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.
hamisa-1
Kutokea Hapo hamisa amekuwa gumzo kwenye tasnia ya uanamitindo na
filamu pia. Pia amisa ni video vixen na wengi mnaweza kumuona kwenye
video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014  Hamisa alitokea  kwenye
cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya.
hamisa Cover
Akiwa Ndio kwanza ana miaka 21 Hamisa ni mtu wa kuangaliwa sana sababu anategemewa kufanya mambo makubwa zaidi.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga