Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Amuua Mpenz wake kisha kumtupa msituni, mwili waonekana baada ya siku nne


Kijana Jack Wall, 22, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga na kumuua aliyekuwa Mpenz wake, Amelia Arnold  baada ya kugombana nae na msichana huyo kumwambia ya kwamba waachane.

Mbali na Jack, Mtu mwingine aliyefahamika kwa jina la Joseph Potter naye ataungana nae kwa hukumu kama hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kumsaidia mtuhumiwa katika kuutupa mwili huo porini.



Muuaji: Jack Wall
Marehemu Amelia enzi za uhai wake

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga