Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » DIAMOND AMJIBU KWA VITENDO EX-LOV3R WA ZARI





STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenz wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.…
Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6.
Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond.
STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.
Diamond akipozi na mpenzi wake Zari.
King Lawrence ambaye ni binamu wa aliyekuwa mume wa Zari aliyezaa naye watoto watatu Ivan amekuwa akimnanga Diamond mitandaoni hasa Instagram kama mtu aliyefulia na hana fedha ambapo siku za nyuma aliwahi kuandika post akisema kuwa yuko tayari kumpatia kiasi cha Usd 40,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 71 Diamond aachane na Zari.

Katika kuonyesha kuchoshwa na tabia hizo za King Lawrence, Diamond ameamua kutupia picha yake akiwa amepanda baiskeli huku mpenzi wake Zari akiwa katika mkoko mkali aina ya BMW X6 akimaanisha kumkebehi mtu huyo kuonyesha kuwa hana kitu ila anaomba penzi kwa mtoto mkali aliye kwenye BMW.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga