Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » U BABA UNAMNUKIA JUSTIN TIMBERLAKE


BAADA ya kuwepo minong'ono ya hapa na pale kuwa mwigizaji Jessica Biel ana ujauzito wa mtoto wa kwanza wa mwanamuziki Justin Timberlake, huku mastaa hao wakikaa kimya, hatimaye staa Justin ameweka bayana kuwa mkewe huyo ni mjamzito.
Timberlake ameweka wazi hayo kwa kutupia picha katika mtandao wa Instagram jana ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akimbusu tumbo mkewe Jessica mwenye mimba na kuandika hivi:



'Namshukuru kila mtu aliyenitakia heri ya kuzaliwa! mwaka huu natarajia kupata zawadi kubwa mno. Nina hamu sana ya kumuona# Mvulana au msichana# Huwezi kujua# Na sisi hatujui pia# Wote tunasubiri kuona' aliandika Justin

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga