Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
ZARI NA DAIMOND MAMBO NI MOTOMOTO, CHEKI MAPOKEZI YA DAIMOND KAMPALA JANA...