Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » WASAGAJI HAWA WAOANA BAADA YA KUWA NA MAHUSIANO KWA MIAKA 50


Zaidi ya miongo saba baada ya kuanza
uhusiano wa kimap3nzi, Vivian Boyack na
Alice "Nonie" Dubes wamefunga ndoa.
Boyack, 91, na Dubes, 90, wal ifunga ndoa
rasmi Jumamosi iliyopita, limeripoti gazeti
la Quad City Times.
"Sherehe hii ilikuwa ifanyike siku nyingi
sana," amesema mchungaji Linda Hunsaker
wakati aki fungisha ndoa hiyo
iliyohudhuriwa na marafiki wachache na
baadhi ya wanafamilia wa maharusi.
Wawili hao walikutana katika mji
waliokulia wa Yale, Iowa, nchini Marekani.
Baadaye walihamia mji wa Davenport
mwaka 1947, Boyack akifanya kazi ya
ualimu, huku Dubes akifanya shughuli za
kihasibu.Dubes amesema wameishi maisha
mazuri pamoja, katika miaka yote hiyo na
wameweza kutembelea maji mbo yote 50 ya
Marekani, na ya Canada, na pia kutembelea
Uingereza mara mbili


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga