Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MWASITI AKANA KUWA NA MAHUSIANO NA SAM MISAGO


.Baada ya maswali kuwa mengi kuhusu
uhusiano baina ya mtangazaji wa EATV/EA
Radio, Sam Misago na mwimbaji Mwasiti
Almasi, wawili hao wameamua kuzikanusha
kwa pamoja taarifa hizo kupitia kipindi cha
Friday Night Live cha EATV jana Feb 6.
Tarehe 6 Feb. ilikuwa ni birthday ya Sam
Misago, na katika kuisheherekea
aliwakaribisha studio za EATV wasanii
Mwasiti, Damian Soul na Makomando
kusheherekea naye mbele ya watazamaji wa
kipindi hicho.
Licha ya kuwa Mwasiti alikuwa
ameshakanusha siku kadhaa zilizopita
kupitia paparazi , lakini wawili hao
walitumia fursa hiyo wakiwa pamoja kwenye
kipindi kukanusha kuwa wao sio wap3nz
bali ni marafiki wa takribani miaka sita
sasa.
Baada ya zoezi la kukata keki na kulishana
kukamilika, Sam alimkaribisha Chitty
kuweka sawa taarifa za uhusiano wao.
Sam: “Labda Mwasiti anaweza
akazungumza na watu akawaambia watu
what is going on.”
“Naomba niwaambie watu kwamba mimi
na Samweli, we are just friends tumekuwa
marafiki kwa muda mrefu sana kwa miaka
sita, mi namjua Sam sio vile ambavyo watu
wanataka nimjue Sam, mi namjua Sam
kivingine, lakini watu wametengeneza
mazingira ya kama mp3nz” alisema
Mwasiti.
Mwasiti pia alitumia nafasi hiyo kuahidi
kumuweka wazi mp3nzi wake ifikapo mwezi
March mwaka huu.
“Mwasiti napromise March ntamweka
boyfriend wangu kwenye mtandao,
nawaomba kina dada kule msijali
mchukueni tu Samweli sio wangu.”
g

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga