Kwenye  mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mp3nzi  wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa  naye ili Kim kardashian awe naye.
Kanye  West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge  kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi  kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili Kim K anikubali”.
Amber amejibu kupitia twitter yake nakusema …


.jpg)