Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » SAKATA LA KUVULIWA NYADHIFA NA CHADEMA, ZITTO AWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI.


Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho.
Hoja yake ni kupinga kuitisha kamati kuu kabla shauri lake kusikilizwa na Baraza Kuu.Anadai anataka mahakama iagize kamati kuu kutojadili suala lake mpaka baraza kuu likae kuamua rufaa yake.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga