Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » YAWEZEKANA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ NDO P3NZI JIPYA NDANI YA TOWN


Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao
wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa
wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao
za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema
ambae aliweka picha hizo jana usiku na
kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penz  la watu hawa linaendelea kuzua
mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona
sawa na wale ambao wanaona kama sio
sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya
watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula
maisha na anaempenda hivyo hakuna
dhambi kwa Wema kula raha na alikuwa
shemeji yake.
Huku wengine wakisema wawili hao
wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni
marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka
kuwa pengine inawezekana walikuwa
wakitamaniana toka enzi za Wema
alipokuwa na Diamond.
Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio
muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena
Ommy ni HB kushinda jamaa

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga