Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

WAPI NIVAE BIKINI? HUDDAH MONROE


msanii huddah monroe model wa kenya, leo ametoa kauli ambayo inamshangaza sana hususan kwa wale funs wake pamoja na jamii kiujumla, amefunguka kupitia mtandao wa makubwa haya blog yakuwa amekuwa akipata shida sana kutoka kwa mashabiki zake akiwa anapost picha akiwa amevaa bikini, sasa mwanadada huyo anuliza sasa hao mashabiki wake wanatakje? Au ukiwa kama mdau wa huddah monroe anauliza ni sehemu gani ambayo anatakiwa yeye avae bikini? maneno ya huddah haya hapa Them holier than thou People who complain about bikini pics like someone is supposed to go in water wearing a wedding dress should kiss my..... Tusi...

WEMA NA ZARI WA KIPINDI HICHOO, NANI MKALI?



Haya ni maisha bwana leo mtu yupo hivi kisho ivi na weza sema auwezi aminikama awa ndio wanao kimbiza bongo kipindi hiki chote ila uku ndiko waliko tokea kimaisha

ZARI 
WEMA SEPETU 

SASA NI PROJECT YA YUSUPH MLELA NA ESHA BUHETI

 
“Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. Hahahahaha.alianza Wastara . Mona . Sasa zamu yenu Mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA . CHAO pamoja wasaniii wadogo  Steven Mengere 'Steve Nyerere’ aliekuwa raisi wa Bongo Movie Unity alibandika andiko hili mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya wawili hao hapo juu.

HUDDAH MONROE ACHAFUA HALI YA HEWA MTANDAONI BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NUSU.......



Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa.
Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti.
Mashabiki wake hawakusita kumchana.

“Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being n@ked subhanallah stop it.You are a good girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed.

“Wajameni u mean ur whoring for real?? Oh my… please stop proving ppl right n be decent now that uv achieved what u wanted… n be quiet, if not for anything else then respect your clientèle. This is wrong,” ameandika Brenskie La’femme.

BAADA YA KAZI NGUMU KWA MA JUDGE, HATIMAYE MISS RWANDA 2015 APATIKANA


Doriane Kundwa was crowned Miss Rwanda 2015 in front of an excited audience at the Kigali Serena Hotel on February 21.

ZARI AMPEKUA DIAMOND PLATNUMZ IKULU KUCHEKI USALAMA WA MALI ZAKE


Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama ..


PICHA 7 KALI ZA MREMBO ANAEWANYIMA USINGIZI WAKINA SEPETU



Have a look, useme mwenyewe how l0vely she is na jinsi mavaz yanavyomkaa ktk figa yake hiyo kali. Ni Lady Kay G, Angalia pics zaid hapo chini:-










TOP 10 YA WAREMBO WA AFRICA WANAOVUTIA ZAIDI KATIKA MOVIE INDUSTRY


Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za kufanya kama wenzetu wa Hollywood (Marekani) na Bollywood (India) huenda siku moja zikatimia.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto, wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini mtandao wa  umefanya kazi ya kuorodhesha waigizaji 10 wa kike wenye mvuto kama ifuatavyo;
10. Elizabeth Michael ‘Lulu’
Binti huyu ana umri wa miaka 21 lakini ni mrembo na anayejiamini. Ni binti kutoka Tanzania mwenye kipaji cha kuigiza kiasi cha kuwa tishio kwa wakongwe. Ni kweli huwa anatumia ‘make up’ lakini hata akiwa hajatumia wala kuvaa ‘mawig’, bado anaonekana ni mwenye kuvutia.
9. Omotola Jalade Ekeinde.
Ni mmoja wa mastaa wa kike nchini Nigeria mwenye mvuto wa aina yake. Kwa sasa ana umri wa miaka 37 na watoto wanne lakini bado anaonekana mrembo kiasi cha baadhi ya mashabiki wake kumuita Omosexy.Kutokana na kipaji alicho nacho, amejikuta akiwa na mashabiki wengi katika Bara la Africa na kwingineko duniani. Mbali na uigizaji pia ni mwanamitindo na mwananamuziki.
8. Chinyere Yvone Okoro
Huyu ni muigizaji anayetokea nchini Ghana. Katika orodha ya waigizaji wa kike waliomo nchini humo, mrembo huyu amebaki kuwa tishio na imemfanya kuingia katika orodha hii ya wasanii wa kike wakali Afrika.
7. Jackline Wolper.
Huyu ni muigizaji kutoka Tanzania mwenye mvuto wa aina yake. Kwa mujibu wa maelezo yake, uzuri alionao unatokana na mfumo mzuri wa kula aliojiwekea. Anakula sana mbogamboga, matunda na maji mengi, hali inayomfanya autunze urembo alionao.
6. Genevieve Nnaji.
Ana umri wa miaka 36, anatokea Nigeria. Mwanadada huyu anatajwa kuwa na mvuto wa aina yake kiasi cha kupata usumbufu kutoka kwa wanaume kibao.Ameigiza filamu nyingi na zote amezitendea haki kutokana na namna anavyouvaa uhusika.
5. Jackie Appiah Agyemang.
Amezaliwa miaka 32 nchini Canada lakini amekulia nchini Ghana. Ni binti mrembo na mwenye kipaji ambaye aonekanapo kwenye televisheni, huthibitisha kwamba kuna kitu cha ziada alichojaaliwa na Mungu.
4. Nadia Buari.
 Huyu ni msanii kutoka Ghana aliyezaliwa miaka 30 iliyopita. Licha ya umri kusogea, hachuji kwa uzuri. Amecheza filamu nyingi na kadiri siku zinavyokwenda ndivyo anavyozidi kuwa tishio kwenye tasnia ya uigizaji.
3. Ini Edo.
Hivi unaanzaanzaje kumuacha mrembo huyu pale unapotaja medemu wakali kwenye tasnia ya filamu Afrika? Naamini huwezi, labda uwe na chuki zako binafsi.Ana umri wa miaka 31 na ana uzuri wa asili unaomfanya atumike kwenye filamu nyingi za Nigeria.
2. Stephanie Okereke Linus.
Huyu ni binti kutoka Nigeria ambaye wengi wanamtaja kuwa muigizaji mwenye mvuto kuliko wote Afrika. Ana miaka 33, aliwahi kushiriki mashindano ya urembo nchini Nigeria na kuibuka mshindi. Kuanzia hapo amekuwa gumzo kwa uzuri wake na amekuwa akitumika sana kwenye filamu nyingi.
1.Rita Dominic.
Wafuatiliaji wa filamu za Nigeria watakuwa wanamjua vizuri binti huyu. Ana miaka 40 lakini bado anadai. Kila sehemu ya mwili wake ina muonekana wa kiurembo.
Angalia midomo yake, angalia macho na ngozi yake. Hakika ni kati ya waigizaji wa kike Afrika wenye mvuto wa aina yake
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga