Chezea Ziwa wewe!
Kituko kimetokea ndani ya chumba cha kujirekebishia nguo { ladies room} au chooni pale ambapo mdada mmoja aliingia kwa lengo la kuweka sawa blauzi yake ili atoke nje akaendelee na shughuli nyingine, kilichomkuta sasa, angalia mwenyewe!