Mercy Johnson Ndo ameg'ara zaidi Google 2012 Posted by: Unknown Posted date: 11:36 PM / comment : 0 Mwanadada Mercy Johnson, ameng'ara kwa mara ya pili katika orodha ya watu maarufu wa nchini Nigeria waliotafutwa mara nyingi zaidi katika mtandao wa Google. Mwaka jana pia mwanadada huyo aliongoza kwa watu kum "google" mara nyingi Share !