Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Mugabe Mlalavi Mikutanoni

Waziri katika serikali ya muungano ya Zimbabwe Bw Ncube amelalamikia vitendo vya Rais Huyo kuwa Mchapaji mzuri wa Usingizi katika Vikao hasa vya SADC, na kwamba muda umefika kwa Rais huyo kuachia ngazi. Amesema chukulia mfano mtu aliyezaliwa mwaka 1980, mpaka leo ana miaka 32, na bado kichwani kwake anamjua Rais huyo huyo tu, mbona wakina  Kwame Nkurumah, Samora Machelle na Mandela walikubali kuachia ngazi, muda umefika Wazimbabwe kujua ni nani watamweka katika nafasi hiyo ambaye atawaongoza na atabadilisha Taswira ya Nchi yao.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga