Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» »Unlabelled » Mbwa anapogoma "Kunusa" Ushahidi

Kituko kimenaswa na Camera ya Mdaku Pale Mbwa wa Police huku Marekani walipogoma kunusa " JI CHUPI" chafu kama ushahidi ili baadae waanze kufuatilia nyenendo za mtuhumiwa huyo!! Mbwa huyo anayeaminiwa katika kitengo cha kunusa ( sniffing Dog )  alikuwa akigeuza sura kila mara Li chupi hilo lilipoletwa mbele ya sura yake!

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Picha ya Rihanna Iliyozua Gumzo Twitter
»
Previous
Kumbe hata Ngedere wanajua "Mambo" yapo wapi!!!
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga