Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Msanii Omary Omary Afariki Dunia

Bado Wingu la mauti limeitawala Tasnia ya Sanaa na Uigizaji Nchini kwani yule muimbaji maarufu wa nyimbo za michiriku aliyetamba kwa kibao cha "Kupata ni Majaaliwa" Omary Omary afariki dunia nyumbani kwao, Temeke Mikoroshini, Dar Es Salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya kesho. Mungu aileze Roho ya Marehemu Mahali Pema.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga