Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » » Apagawa na "Sukari" ya Stella hadi kupoteza maisha!!!

-->

Stella baada ya kukamatwa

Mwanamke mmoja huko katika jimbo la Asaba, amejikuta hatiani baada ya kumuua mwanaume alikuwa akifanya nae mapenzi bila kukusudia. Imeelezwa kuwa wawili hao walifika katika hotel moja na kukodisha chumba, lakini baada ya dakika arobaini(40) mwanamke huyo alitoka chumbani huku akipiga makelele  akiomba msaada, wahudumu wa hotel hiyo walipofika chumbani walikumta mwanaume huyo ameshafariki.

Mwanamke Huyo aliyetambulika kwa jina la Stela ambaye anadaiwa kuwa ni muuza "Sukari" alikimbia eneo la tukio baada ya kuona hali imekuwa si hali tena, hata hivyo alipatikana baadae baada ya wapelelezi kutoka jeshi la polisi kuingia kazini, mwanaume huyo ametambulika kwa jina moja tu la Peter.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga