Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Mrembo Julieth Ibrahim Azuiwa Kupanda Ndege sababu ya viatu alivyovaa

-->


Msanii wa filamu kutoka nchini Ghana Juz alikumbwa na usumbufu wa aina yake pale alipozuiwa na askari wa Air Port Kupanda ndege kwasasbabu viatu vyake vilikuwa vinahatarisha usalama. Tukio hilo lilimsababishia achelewe ndege yake ya awali kwani alikataa kuvua viatu hivyo. Hata hivyo baadae alikubali kuvua na kupanda ndege nyingine.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga