Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MWANAUME WA KWANZA MUAFRICA KUJIBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, SASA ANAJIHISI UHURU ZAIDI


Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.

Amekuwa akiendesha maisha yake kwa kupitia shughuli za Urembo, ameridhika na hali aliyokuwa nayo sasa na anaomba watu wamkubali kama alivyo.


Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.



About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga