Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » BAADA YA KUMTEMA WOLPER, FREDY WAYNE AHAMISHA MAHUSIANO KWA KAJALA MASANJA, KWELI HAWA MADAD WA BONGO MOVIE MTEREMKO.


MSANII wa muziki wa kizazi kipya anayeunda kundi la Makomandoo Fredy Wayne ambaye alikuwa akitoka kimap#nzi na Jacqueline Wolper anasema ameamua kuachana na msanii huyo na kuamua kuunda uhusiano mpya baada ya Jckline Wolper kuwa anamchanganya na wanaume wengine kimap#nzi.
Msanii huyo wa Bongo fleva ameamua kufunguka na kusema kuwa yeye kwa sasa  map#nzi yake yote yapo kwa mwanadada Kajala Masanja na anasema haambiwi hasikii juu ya p#nzi hilo la Kajala. “Siyo siri jamani ndiyo kashaniroga, nampenda na yeye kaonyesha upendo wake kwangu, nipo naye na kuhusu huyo Jack Wolper ni maisha tu, ni rafiki zangu, huwa naona nao katika maeneo tunapiga k!ss, ni vitu vya kawaida lakini sasa niko na Kajala,” alisema.
Fredy Wayne
Jitihada zetu za kuwatafuta Kajala na Jackline Wolper hazikuzua matunda kwani kila tulipojaribu 

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga