Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » BOMU LA KURUSHWA KWA MKONO LILIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA SHEKILANGO, DAR ES SALAAM.



Baadhi ya raia wakikusanyika kushangaa Bomu la kutupa kwa mkono lililokutwa eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam, jana mchana na kuzua taflani kubwa.



Bomu hilo likiwa limefukiwa katika eneo hilo.....


Askari wa kutuliza ghasia wakijaribu kulitegua bomu hilo ili kuweza kuliondosha eneo hilo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga