Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » CHUCHU HANS KUWAPELEKA MAHAKAMANI GAZETI LA KIU KUTOKANA NA STORI ZA KUTUNGA


Je ni kweli baadhi ya magazeti huandika story za kujitungia ili wapate mshiko katika mauzo ya magazeti hayo????? Nimesema hivyo baada ya kumbana mwanadada Chuchu Hans kuhusiana na ishu iliyoandikwa na gazeti moja hapa nchini kuhusu bifu lake na msanii Mainda.

Bifu hilo ni kuhusu wanadada hao kumgombea nyota wa kiume wa BongoMovie Ray. Katika mahojiano hayo Mdakuzi wetu alimuuuliza kama kile kilichoandikwa katika gazeti hilo ni cha kweli na Chuchu alikua na haya ya kusema "Kiu kuna mnachonitafuta sina mda wa kuongelea upumbavu mi naangalia maisha yangu plzzz naomba mbiache na muandike vitu vya kweli sio chuchu alisema alafu hamjaongea nami chochote sina mengi ila mtadili na mwanasheria wangu"


Mwanadada huyo kasema kua kawasiliana na mwanasheria wake na siku si nyingi atawasiliana na uongozi wa gazeti hilo kuhusu kuandikwa kwa story hiyo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga