Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » DENTI WA UDSM MWAKA WA PILI ADATA NA PENZ LA LECTURER WAKE, YUPO NJIA PANDA


Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 sasa. Ninasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwaka wa pili.

Tatizo langu ni kwamba, kadri siku zinavyozidi kwenda nahisi kumpenda mmoja kati ya maprofesa wangu. Lakini hadi sasa ninachoona ni kwamba bado hajajua hisia zangu nifanyeje?

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga