Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » HATIMAYE KIFAA CHA KUWADHIBITI WANAOTOKA NJE YA NDOA CHAIBULIWA.


Kifaaa maalum cha kumzuia mwanaume kutofanya mapnz kimevumbuliwa, na hii ni katika kukabiliana  na wanaume waliooa wasiweze kusaliti ndoa zao na hata kwa ajili ya vijana wanaowasaliti wapnz wao.


Kwa kutumia kifaa hiki, wake wanaweza kufungia maumbile ya waume zao au wapnz ili kuwazuia wasisaliti.

Kifaa hiko kina uwezo wa kuwazuia wanaume kuweza kugusa sehemu zao za siri kwa ajili ya muamko wa kimapnz. Kifaa hicho kinampa haki mtu mwenye funguo kumiliki kufanikishwa kwa tendo la ndoa kwa wahusika wawili wanokutana kwa kumzuia aliyevaa kushindwa kugusa maumbile yake katika maisha yake yote.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga