Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » MAMBO YA RIHANNA HAYO, AKIJIA NDANI YA PANDE ZA BARBADOS


Mpe zake sifa Rihanna, hakika yeye ni mtalamu wa kuunganisha muonekano wake na nguo anazozivaa kuwa za kivyake vyake, japo wengine wanaweza kupinga na kuwa tofauti kimtazamo ila kiukweli anavutia.

Kitu kingine cha ziada ni kwamba inawezekana kuwa yeye ndiye msanii maarufu ambaye bado ana tabia ya kuendelea kufurahi na marafiki na familia yake ya kitambo, kwani mara zote amekuwa akishiriki kwenye siku zote muhimu za nyumbani kwao Barbados.

Rihanna, huwa hasahau utu na mwanzo wa maisha yake ya awali..

Mcheki kwenye picha hapo chini akiwa na washkaji wa kitaa...



About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga