Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Mcheki Gifty Nkasa, Amefanana na JOKATE akiwa na Kale ka Suruali ka Diamond na Wachumba zake




Ukimcheki kwa haraka utadhani ni Mwanadada Jokate wa Tanzania ambaye aliwahi kuwa na Mahusiano na Mwanamuziki Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platinumz.

Gifty ni mwanamitindo kutoka nchini Ghana, hapo ameweka Pozi na Design ile ya Nguo Iliyomponza Diamond baada ya kuhudhuria Harusi ya Peter Okoye wa P Squire akiwa ameivaa.


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga