Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » PATA MUDA KUMWANGALIA MTOTO WA ROSE NDAUKA ALIYEJIFUNGUA HIVI KARIBUNI, MAMA MTU KARUDI KATIKA SHAPE TAYARI


Rose  Ndauka ambaye ni mama anayetamba ndani  ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen. 

Upekuzi  wa  mtandao  huu  umefanikiwa   kuinasa  picha  ya  Naveen  ikiwa  mtandaoni   kama  inavyoonekana  hapo  chini....


Siku  chache  baada  ya  kujifungua, Rose  Ndauka  aliwaonya   wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba kwani ni kinyume cha maadili ya  mtanzania .

Ndauka alisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu nyota hawataki kuzaa, hata wale waliozaa kabla ya kuwa nyota hawapendi kujulikana kama  wamezaa, kitu ambacho hakina maana  yoyote  katika maisha ya msanii. 

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga