Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » RIHANNA ATIA FORA NA KIVAZI CHAKE CHA MITEGO KATIKA TUZO ZA GRAMMY


BadGal Riri alitinga kivazi hiki cha rangi ya njano huku akiwa na kidani kimoja matata shingoni mwake na kiatu cha mchuchumia kwenye tuzo za awali za Grammy Gala zilizofanyika jana pande za Beverly Hilton ndani ya Los Angeles. Umeipenda..?

Rihanna ameshindanishwa kwenye vipengele viwili za tuzo hizo; ya kwanza ikiwa ni ya Best Pop Duo/Group Performance kwa wimbo wa Stay with Mikky Ekko na ile ya Best Urban Contemporary Album kupitia album ya 'Unapologetic'.

Cheki picha zaidi hapo chini... 





DC.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga