Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » WAUMINI WALIOSHAWISHIWA KULA NYASI NA MCHUNGAJI WAO WAANZA KUUGUA


Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.

Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo -  picha za vyooni zinawaonyesha wanawake wakishikilia matumbo yao, huku wanaume wakiwa wanatapika kwenye masinki.

Japokuwa Mchungaji huyo bado hajasema lolote juu ya tukio hilo ila kupitia ukurasa wake wa Facebook hapo jana aliandika: 'Mungu yupo kazini na watu wake wanatoa ushuhuda sasa'


DC

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
KANYE AMTANDIKA KIJANA WA MIAKA 18 BAADA YA KUMVUNJIA HESHIMA KIM KARDASHIAN NA KUMUITA MPENDA MA NIGGA
»
Previous
JAMAA AFANYA MAP#NZI NA MAMA YAKE MZAZI, HATIMAYE KUMUOA...TAZAMA VIDEO HAPA AKIFUNGUKA MAKAVU LIVE...AIBU!!!DUNIA IMEKWISHA.
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga