Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MWANAMKE ACHINJWA KIKATILI KWA KILE KINACHODAIWA NI WIVU WA KIMAP3NZI...!! Samahani kwa picha hii ya kutisha




Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo hilo.
Mwanamke Mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntobo "B" kata ya Ntobo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,  aliyetajwa kwa jina la Monica Elias (40) ameuwawa kwa kuchijwa baadamajira ya sambili usiku wakati akiwa nyumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Ntobo Nichlous Lusana amesema tukio hilo lilitokea Alhamis februari 20 mwaka huu saa mbili usiku wakati marehemu Monica akiwa nyumbani huku mme wake Shihumbi Zanzibar(30) akiwa matembezini.

Lusana amesema, watu watatu wameshikiliwa na polisi wakihojiwa kufuatia mauaji hayo huku mmoja akiwa bado ameshikiliwa na wananchi wa Kijiji hicho, baada ya kukakamatwa akiswaga ng’ombe waliohisiwa kuwa ni malipo ya mtu aliyetekeleza mauaji hayo. 

Amesema Baada ya Zanzibar kurudi Nyumbani na kukuta mke wake ameuawa na kuacha mtoto wa miaka sita, alimtaja Ntumba Sitta(32) aliyehamia Ng’hwande-Tabora kutoka kijijini hapo kwamba alikwishawatamkia juu ya kutpanga kutenda uovu huo.


Kwa taarifa ambazo bado hazijarhibitishwa zinasema kwamba hadi sasa jeshi la polisi linawashilikia watu kadhaa kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio hilo.

Dunia Kiganjani.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga