Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » MREMBO APANGA CHUMBA NA KUUZA SUKARI YA WAKUBWA HUKO SINZA


usipojipanga nitakupanga: Nanukuu,
Mrembo Zuena Muhammed anayedaiwa kukodi chumba gesti na kuingiza Wanaume kwa zamu usiku kucha. Tukio hili liliji chumba namba 14 ndani ya gesti ya mori Lodge iliyopo sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni akitoa huduma haramu ya ngono.

Mazingira ndani ya chumba hicho yalionesha kuwa mrembo huyo ni mpangaji wa kudumu ambapo kulikuwa na meza ya kujiremba (dressing table) iliyosheheni mazagazaga ya vipodozi. ndani ya chumba hicho kulikuwa na kondom zilizotumika na zisizotumika zikiwa zimezagaa sakafuni zikithibitisha kuwepo kwa vitendo hivyo vichafu. Wakati mrembo huyo akinaswa, wanaume waliokuwa wakisubiri huduma yake walitoka nduki huku wakiitwa korokoroni.

Wote walikamatwa kwenye sekeseke walipelekwa kwenye mahabusu ya kituo cha polisi Kijitonyama, kwa ajili hatua zaidi ya kisheria. kwa jinsi mrembo huyo alivyokuwa akila vichwa. alidai mambo yakimuendea vizuri kwa siku anaweza kuingiza shilingi laki mbili (200000), au Zaid kwa usiku

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga