Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » PENNY HANA MPANGO WA KURUDI KWA DIAMOND, ASHASHIBANA NA WAKE.



MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena.

Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa Wema kamuacha Diomond basi staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora akampose yeye.

“Mmh! Hapa suala la Diamond kurudiana na mimi halipo kabisa maana simhitaji yeye wala mwanaume mwingine yeyote, mimi ninaye wangu tayari ambaye ameshanichumbia hivyo sitarajii kabisa kuwa na mwingine zaidi yake,” alisema Penny

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga