Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » BAADA YA SUTI YAKE KUWA KIOJA MTANDAONI, SASA MH. APATA DESIGNER WA UKWELI, NGOWI KUSIMAMIA.



Suti  ya  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira  imegeuka  gumzo  mtandaoni baada  ya  kukosewa  kufungwa  vifungo  vyake.....
Wassira  alionekana  ndani  ya  vazi  hilo wakati  wa   Sherehe za Utume zilizoandaliwa na kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) na kujumuisha nchi zingine 11 za Afrika Mashariki na Kati.
 
Sherehe  hizo  zilizofanyika  juzi uwanja wa taifa  Dar  zilihudhuriwa  na kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson ambapo mgeni rasmi  wa  sherehe  hizo  alikuwa  ni  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira (wa pili toka kushoto) akiwa katika  picha ya pamoja  na  kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson( wa  nne toka kushoto) wakati wa sherehe za utume wa kanisa  hilo.



About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga